Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu hamu yake huwa haishi na haswaa akiwa ni Mkatalunya ambao wanawabagua waispanyola wenzao na wanataka kujitenga ndani ya Hispania.
Huyu jamaa ni mbaguzi haswaaa sitosahau alivyomtosa Samuel Eto wa Cameroon wakati alivyokuwa kwenye kiwango bora cha juu wakichukua vikombe vitatu mwaka msimu wa mwaka 2008-2009 pamoja na Champions League na akifunga goli la kwanza kwenye fainali dhidi ya Manchester United na akiwa ni mfungaji...
Huyu ni ndiye Ali Kiba tuliyemjua kipindi kileee amerudi na tena na brand yake orijino iliyopendwa siyo na vijana tu bali mpaka na watu wa rika mbalimbali. Kiwango cha video ni "super" lakini ametunyima utamu kwa kuweka "pause" kubwa katikati ya muziki.
Hiyo sijui tuseme ni nature au vile vile inachochewa zaidi na mfumo dume?
Kwa asili wanawake ni washindani wenyewe kwa wenyewe. Hata wanaume ni washindani. Lakini wanawake wanashindania nini? Na wanaume wanashindania nini? Hilo ndilo swali la msingi inatupasa tutambue.
Kwa asili wanawake ni...
Real Madrid: Are the Champions League finalists lucky or ruthless?
8 hours ago
From the sectionFootball
Bayern Munich had 22 shots compared to Real Madrid's nine throughout the 90 minutes
Lucky or just savvy?
Real Madrid have reached a third consecutive Champions League final - but only...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.