Jamaa anajaza mafuta kwenye dumu na si tanki ya gariJe umeona jambo lisilo la kawaida katika Petrol Station hii? Kuwa makini.View attachment 742653
Nimewazaa tu mawazo yangu ila sina uhakika kwa haraka lazima iwe hivyoUmejuaje mkuu? Pengine tanki la gari limejaa akasema mengine niwekee kwenye dumu.
Dizain kama kampa mgongo hivi..lakini yote yanawezekana.Umejuaje mkuu? Pengine tanki la gari limejaa akasema mengine niwekee kwenye dumu.
Amemziba kwa mgongo...mshenzi uyo anaiba mafuta.Side mirrow haangalii huyo bwana dereva
Pumbavu zakeAmemziba kwa mgongo...mshenzi uyo anaiba mafuta.
Mi kazini kwangu HAWAPIKI!Kila mtu anakula kazini kwake
Pole sanaMi kazini kwangu HAWAPIKI!
aisee nisikuonee...kha!
kagari kenyewe kaFun cargo jamaa ana dhambi sana hahaha
kaziba kwa mgongoSide mirrow haangalii huyo bwana dereva