Recent content by mpumpa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu afikishwa Mahakama ya Kisutu, anashtakiwa kwa kuweka video zake zenye maudhui ya ngono kwenye mitandao ya kijamii

    Hapo msiba msiba kafeli kama wema kapewa dhamana maana alisema hao watu wanapaswa kupelekwa hereza la wanaume.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    Gamba hadi umauti unamkuta alikua DW Ujerumani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

    Ila hata akiachana kalifaidi kweli
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Kuja pm tuongee ila na wewe uwe na degree
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda: Kundi la paka 12 lashiriki mazishi Lindi

    Kwa nini hao paka wasipewe kichapo wangekimbia wenyewe tu au kama vipi wangewaachia wao wazike Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Hapa naona kama maigizo tu wanataka watanzania wawe busy na hii issue ili msiendele kujadili jinsi nchi inayoendeshwa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la chaneli za ndani kufungiwa kwenye baadhi ya ving'amuzi limefikia wapi?

    Kama unaona hakina kazi kwa nini unauza ndio shida ya binadamu unakuta kitu hana shida nacho tena anaenda kukitupa ukimwambia naomba usikitupe atakuambia sema nikuuzie.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la chaneli za ndani kufungiwa kwenye baadhi ya ving'amuzi limefikia wapi?

    Sasa hivi kila mtu anawaogopa watu wasiojulikana mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukienda Mkoa huu huyu atakupokea kukukarimu

    Duu watu wasiojulikana wanambinu nyingi sasa sijui hapo utampata nani Mimi nipo bahari ya hindi hapa njoo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ibilisi wa ngono safarini..

    Hapo ndo utajua fimbo ya mbali haiui nyoka Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

    Ukifunga nae ndoa halafu ndio akawa anafanya moja ya hizo kazi utavunja ndoa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Wanaoweza kiwatambua ni wale wanaofanya sasa mtu kama hujawahi kufanya hayo mambo utajuaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Duu nimependa hiyo nitafute kwa 0787245116 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Nipo tayari njoo tuyajenge Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Njoo kwangu tukapime baada ya mwezi utaanza kutapika na mkataba unaishia hapo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom