Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,615
- 32,111
Nimewaza sana kwa sisi tunaosafiri safiri ni vyema kama tutakuwa na Members wenzetu wa JF ambao watatusadia huko tuendako kwa ajili ya kupeana Company nakadhalika.
naomba tuweze kuwa na ukarimu wa kukaribisha members wenzetu wanapokuja kwenye mikoa yetu. tutumie nafasi hii kuonesha ukarimu wa kitanzania kwa watu mbali mbali.
UKIJA DAR
Nitafute mimi Chizi Maarifa nitakutembeza maeneo mbalimbali ya dar. kuanzia Yenu Bar, Kona Bar, Bugurni Rozana, kule kwa Wahaya, Toroka Ukuje, Temeke ,Buguruni kwa Mnyamani, Ohio town, Sinza, Magomeni, Mlimani City, City Mall, Quality Centre, Mikocheni,Oysetrbay n.k yaani maeneo yooote ambayo ukiwa mkoani unayasikia sikia. oooh.. na kwenye daraja la manzese na la hapa tazara pia fly over. ntakuonesha na kukupa nafasi ya kupiga picha kwenye mendo kasi,ntakupeleka ukaoge maji ya baharini n.k
kwa mnaokuja dar naombeni tuwasiliane mkija mimi ntawapo tour bure kabisa. kuonesha kuwa sisi watu wa pwani ni wakarimu sana.
NANI YUPO.
MOROG
SINGIDA
DODOMA
SHINYANGA
ARUSHA
TABORA
MWANZA
MARA
BUKOBA
KINJARO
MBEYA
IRINGA
RUVUMA
PEMBA
UNGUJA
MTWARA
LINDI
PWANI
ETC