Recent content by Mponda 02

  1. Mponda 02

    TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Typing error, hapo itakuwa 1971-1977
  2. Mponda 02

    Niliwahi kumeza sarafu ya shilingi 50. Je, itakuwa tu tumboni?

    Shilingi hamsini inatoka kupitia choo kikubwa. Haikwami, hiyo ulishaitoa. Haiyeyuki kama wadau wanavyosema hapo juu, inatoka kwenye choo kikubwa kama ilivyo
  3. Mponda 02

    Uzinduzi wa Usafirishaji mizigo kwa SGR

    Kwanini hamfanyi maboresho yoyote kwa Dar es salaam commuter train? Abiria ni wengi sana, lakini nyinyi mnapunguza behewa kilakukicha na hamfuati ratiba. Suburban rail ya Ubungo ni kama imeshakufa, kutoka behewa 10 mwaka 2012 ilipoanzishwa mmebakiza behewa tatu huu mwaka 2025. Suburban rail ya...
  4. Mponda 02

    Mapacha walioungana walipwa mshahara wa mtu mmoja

    Kila mmoja ana moyo wake, uti wa mgongo wa peke yake, mapafu ya peke yake, na pia kila mmoja ana tumbo lake na hula kwa wakati wake. Mguu mmoja ni wa Abigail, na mguu mwingine ni wa Brittany. Na mikono pia, mkono mmoja ni Abigail na mkono mwingine ni wa Brittany Kwa namna hii huwezi sema ni mtu...
  5. Mponda 02

    Bili yako ya maji mwezi Februari inaendana na uhalisia wa matumizi yako?

    Kujaza ndoo siyo kipimo sahihi, ile ndoo kubwa ikijaa maji ni zaidi ya lita 20.
  6. Mponda 02

    Hiki kizazi mnaharibu sana Kiswahili "KUHEMEA" ndio maana yake nini?

    Sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mponda 02

    Ushauri na maoni yenu juu ya huu mchoro.

    Vya kufikia wajukuu zako wanapokuja kukusalimia babu yao
  8. Mponda 02

    Mapishi ya nazi ni overrated sana kwa vyakula vingi

    Ukiona maganda ujue amekosea kuunga mboga. Mafuta yakipashwa joto vizuri na kuwa ya moto huoni maganda, maganda huungua kwenye mafuta na kutoa rangi nyekundu ambayo ndio mchuzi
  9. Mponda 02

    Benki ya NMB boresheni huduma zenu kwa wateja

    Hama Bank, NMB hata ku renew kadi iliyoisha muda ni tabu sana. Hawajali mteja. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  10. Mponda 02

    Je, kuna mtu mwenye ushuhuda wa bati za chengachenga zilizowahi kupauka?

    Hizo bati za chengachenga zilizo na muundo wa vigae ni nzuri kwa huo muonekano tu, ukiezeka mtu akitazama atafikiri umeezekea vigae, lakini hazina ubora. Siyo tu kwamba yanapauka, bali yanapata kutu mapema sana. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  11. Mponda 02

    Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

    Ni ndoo 50, lakini siyo iliyojaa hadi juu. Ukipima kwa ndoo ikiwa full haupati 50 kwasababu ndoo au dumu likijaa hadi juu inakuwa ni zaidi ya lita 20. Kupima unit za maji kwa kuhesabu ndoo zilizojaa hadi juu siyo kipimo sahihi. Usijaze ndoo full. Zile mita zipo sawa. Sent from my Infinix X657B...
  12. Mponda 02

    Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

    Kuna mafundi wana vifaa vya kutolea pampu iliyonasa au kukatika mpira na kuzama
  13. Mponda 02

    Pollytank ni tanki zuri? Naomba ushauri

    1)Polytank 2)Simtank 3)Kiboko Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  14. Mponda 02

    TCU na wizard ya elimu siwaelewi

    PCM, PCB, HGL
Back
Top Bottom