Niliwahi kuwa Mwanachama wa Jogging Club moja ilikuwa inaitwa Bamboo Jogging Club pale Kinondoni Makaburini kwenye Bar ya Marehemu John Fedha,yaani ilikuwa ni kukulana member kwa member kwa kwenda mbele[emoji1787]
Hii Kampuni ya MYSOL naifahamu sana niliwahi kuwa Afisa Mikopo wao,ni MATAPELI NA MAJIZI SANA,mwaka juzi 2021 walimfukuza kazi jamaa mmoja anaitwa Raphael kihuni sana.Mkurugenzi Mkuu wao Godfrey Mugambi akishirikiana na Head wa HR Malaya mmoja anaitwa Veronika Kahama walimfukuza kazi huyo Rafael...
Hiyo ngumi ya hadi kumvunja taya mwenzio, duh! Punguza hasira. Maisha ni magumu, wengi siku hizi tunatembea na magonjwa yetu. Hiyo ngumi yako inaweza kusababisha kifo kizembe. Kisha jalada likawa ni murder case! Nakukumbusha tu kwamba mpaka mahakama kuja kuufahamu huo mlolongo ulipoanzia, tayari...
Hivi unapoibetia Timu yenye odd 1.02 unakuwa unataka upate tsh ngapi mfano hata ukiweka Tsh.Milioni Moja??au ni kujaza Mkeka tu Timu nyingi kumbe odd 1.02[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.