Msaada kuhusu kampuni bora za umeme wa jua (solar)

Msaada kuhusu kampuni bora za umeme wa jua (solar)

Asante.
Nahitaji Sola yenye uwezo wa kuwasha TV, friji, kuchaji simu za majirani ili kumpunguzia makali bimkubwa. Si unajua mkuu.
Hii mifumo ina gharama kubwa za kuanza. Wafanyabiashara wengi wa hapa wanaangalia tunachoweza kununua kutokana na hali halisi ya uchumi wetu ila, hamna hamna uwe na milioni 7 ili kuwa na mfumo wa solar mzuri kwa matumizi kama hayo, hutalazimika kubadili vitu, sijui viwe vya DC n.k
 
Hivi mkuu, wiring ya kwaida kwa ajili ya umeme wa Genereta au TANESCO inaweza kutumika kwa Sola kama mtu ukipata accessories zake?
 
Hivi mkuu, wiring ya kwaida kwa ajili ya umeme wa Genereta au TANESCO inaweza kutumika kwa Sola kama mtu ukipata accessories zake?
Nasema hivyo kwa sababu tulishafanya Wiring tayari kwa umeme wa REA, lakini kwa vile matumaini ya kupelekewa karibu hii ni finyu, tunaopt kwa Sola.
 
Mwalimu To yeye, wewe siyo mwalimu wa Physics? mbona sikuoni huku dada yangu. Hata hunishauri kidogo!?😳
Yaani unapita kama huoni vile🙆🙆🙆
 
Sawa, Ila hiyo si kampuni? Kwa nini mawasiliano inbox, Kama Kuna wateja wanahitaji? Biashara matangazo.
Yuko jamaa wa duka la spea za magari anajitangaza hata humu jamvini na watu wamefanikiwa kupata spea kwake.
Wenye makampuni au maduka ya mabati wako open.
Toa namba tuongee naye mkuu.
+255 769 022 033 AGEnergies Mbeya.
 
Natumia Mobisol kwa sas (Mysol) mwaka wa 5 huu haijawahi kunisumbua na vitu vyake ni Super kabisa
 
Nawasalimu wanajamvi. Habarini za mapumziko ya Jumamosi.

Niende kwenye mada. Kwa wajuzi na wataalamu wa aina ama kampuni Bora za Sola.

Tunafahamu kuwa kuna sehemu/vijiji ambavyo bado umeme wa REA haujafika. Hivyo nahitaji kwenda kumfungia umeme wa sola mama yangu. Mwenye ufahamu juu hili tafadhali naomba msaada wa maelekezo.

Asante🙏.
Sundar solar....25 years inakaa
 
Usithubutu kutumia Bidhaa za Kampuni ya MYSOL zamani MOBISOL,ni Kampuni ya MATAPELI NA MAJAMBAZI na bidhaa zao ni feki. Ni Kampuni ya ovyo.
 
Back
Top Bottom