Recent content by MpitaNjia

  1. M

    Masha atoweka na samani za ofisi ikiwemo picha ya rais!

    Hiyo inadhihirisha maana halisi ya ARI ZAIDI, KASI ZAIDI, NGUVU ZAIDI...... Kibwagizo........... Wizi zaidi, Ufisadi zaidi, Utapeli zaidi, Usanii zaidi...
  2. M

    GE2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Hawezi kumpeleka Mahakamani kwa sababu akienda huko anaenda kufa kwa ugonjwa wa moyo....
  3. M

    GE2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Maisha bora yatakuwepo kwa wale wenye NACHO ..... yaani matajiri wakubwa wanaokwepa kulipa kodi na wanaifadhili CCM... Sisi wengine ni maumivu kwenda mbele
  4. M

    GE2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Mwalimu Nyerere alimuuliza, wewe Edward (Lowassa), mali zote hizi umepata wapi?
  5. M

    GE2010 JK na 61% victory, ushindi wa tsunami au katrina?!!!

    Huu ni ushindi wa VITISHO, RUSHWA na UCHAKACHUAJI.....
  6. M

    GE2010 Jamani nagombea ubunge Babati Mjini kwa tiketi ya CHADEMA 2015

    Nakushauri uwe FIT..... maana unaweza kuchakachuliwa na hali ikiwa TETE utajikuta umelazwa baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi..
  7. M

    GE2010 Slaa ameshinda kwa 48%, JK 26%, Lipumba 15% On level field (2010)

    Kwa hesabu jinsi zilivyo, UCHAGUZI HAUPO KAMA ALIVYOSEMA SHEIKH YAHYA HUSSEIN...... Mnajimu mashuhuri wa CCM
  8. M

    GE2010 Hivi CCM si wangeweka tu alama ya mzinga au bunduki kweye bendera yao tuu

    Wataweka tu wewe subiri JK azidi kuongeza Wanajeshi wastaafu kwenye Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu wakuu, Mabalozi nje ya nchi na Makatibu wakuu wa Mawizara....
  9. M

    GE2010 Tutegemee nini kutoka kwa jk?

    Tutegemee Cabinet yake watakuwemo Wakuu wa Mikoa na wilaya kujazwa Wanajeshi wastaafu toka JWTZ .... ili wananchi wakileta maandamano na manung'uniko ni kupelekwa jeshini kupata adhabu za kijeshi toka kwa MP (Military Police).... Vile vile bila kusahau kurudishwa kwenye uongozi mafisadi...
  10. M

    GE2010 Hongera Liutenant Colonel (Retired) Kikwete

    Unamshusha cheo.... Ni Colonel Mstaafu wa JWTZ, sambamba na Mwenyekiti wake wa kampeni za CCM Kitaifa, Raia wa Somalia, Colonel Mstaafu wa JWTZ Abdulrahman Kinana, bila kumsahau Katibu Mkuu mwenye porojo nyingi, Luteni Mstaafu wa JWTZ, Yussuf Rajab Makamba....
  11. M

    GE2010 Matokeo ya mwisho: JK aambulia 61.17%

    Sheikh Yahya alisema uchaguzi hakuna, inawezekana kweli ukarudiwa baada ya wateule kuaga dunia au kupingwa mahakamani. Tusishangae majimbo yote walioshinda CCM, wapinzani wakaenda mahakamani
  12. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Jamani na bado Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anakuja kuwa Waziri Mkuu wenu..... Tutakoma kuringa! Masha, Batilda, Diodorus Kamala, Phillip Marmo watakuwa wabunge wa kuteuliwa kwenye nafasi 10 za Rais
  13. M

    Bunge Jipya: CHADEMA yapaa, CCM yaporomoka!

    Na bado kuna majimbo mengine watachukua.... Nkenge, Mpanda Mjini, Mpanda Kati. Achilia mbali yale yatakayotenguliwa na Mahakama kisha uchaguzi mdogo kuitishwa
  14. M

    GE2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Tetesi na Radio Mbao zinasema Edward Ngoyai Lowassa atakuwa Waziri Mkuu mpya na Andrew Chenge atakuwa Spika wa Bunge.... Je tutapona hapo??
Back
Top Bottom