Elections 2010 Slaa ameshinda kwa 48%, JK 26%, Lipumba 15% On level field (2010)

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
Wajumbe;

JK ameshatangazwa kuwa rais wa Tanzania baada ya matokeo kuchakachuliwa; ila nina hesabu kidogo; Amechaguliwa kwa 26% ya kura zore 20Mili zilizositahili, na assume yeye ndiye ametumia maxumum resources hadi uchakachuaji hatari na kupakana matope wenzanke; so asilimia 74 inabaki kwa wapinzani

assume 10% watakuwa na shughuli hivyo kutopiga kura kama watu wamehamasishwa na serikali inayowapenda; na wapinzani wakubwa yaani CUF na Chadema wakagawana hizi 64% kwa uwiano; itakuwa hivi

26 (ya slaa)+8 (ya Lipumba)=34

Uwiano wao

Slaa Amepata=>(26/34)*64%==>48%
Lipumba amepata==>(8/34)*64%==>15%

Matokeo halali mwaka huu

Dr Slaa==>48%
JK ==>26 (fixed value)
Lipumba==>15%

So Slaa anabaki moyoni kama Rais wangu wa kweli 2010-2015; sijui kwa nini nilipew kura kwa mtu ambaye serikali yake haina rais wangu. Sijui kama hapa nimeeleweka, lakini mnaweza kuboresha zaidi
 
Ebu bioresha, hesabu zako ngumu sana... inaonekana kana kwamba umelazimisha njia ili itoe jibu unalolitaka
 
Wajumbe;

JK ameshatangazwa kuwa rais wa Tanzania baada ya matokeo kuchakachuliwa; ila nina hesabu kidogo; Amechaguliwa kwa 26% ya kura zore 20Mili zilizositahili, na assume yeye ndiye ametumia maxumum resources hadi uchakachuaji hatari na kupakana matope wenzanke; so asilimia 74 inabaki kwa wapinzani

assume 10% watakuwa na shughuli hivyo kutopiga kura kama watu wamehamasishwa na serikali inayowapenda; na wapinzani wakubwa yaani CUF na Chadema wakagawana hizi 64% kwa uwiano; itakuwa hivi

26 (ya slaa)+8 (ya Lipumba)=34

Uwiano wao

Slaa Amepata=>(26/34)*64%==>48%
Lipumba amepata==>(8/34)*64%==>15%

Matokeo halali mwaka huu

Dr Slaa==>48%
JK ==>26 (fixed value)
Lipumba==>15%

So Slaa anabaki moyoni kama Rais wangu wa kweli 2010-2015; sijui kwa nini nilipew kura kwa mtu ambaye serikali yake haina rais wangu. Sijui kama hapa nimeeleweka, lakini mnaweza kuboresha zaidi

Kwa hesabu jinsi zilivyo, UCHAGUZI HAUPO KAMA ALIVYOSEMA SHEIKH YAHYA HUSSEIN...... Mnajimu mashuhuri wa CCM
 
mmh yanii hizi hesabu sijui ni za intergration? mabano?kutoa? kujumrisha? au ni za upe? duh nimetoka kapa kabisa
 
ur exactly right, hizi hesabu ndogo za ratios ( sehemu) nashangaa wengi hawaelewi, ohh my Godness, ratios in percentage very simple maths watu chali, doooh i know ndio maana tumeibiwa kura watu hawajui,
labda niweke hivi iwe simple
Dr Slaa 26% + Pumba 8% ( bcoz huyu ni ccm b) = 34% ,,,,,, sasa 26% ya wapiga kura ndio walipiga after uchakachuaji, hii inamaana 74% ya wale Mil 20 hawakupiga kura, but ondoa 10% ambao labda hawajapiga kura kwsbb mbalimbali = 64% X wale 20mil =12.8mil hivyo basi kwa mgawo wa DR Slaa & Lipumba kwa watu ambao hawakupiga kura ambao tunaamini CCM wameiba ni
26/34 X 12.8mil = 9.8 Mil kwa Dr Slaa = 48% ya wale Mil 20 au 26/34 x 64% = 48% ya wale 20mil
8/34 X 12.8 mil = 3.0 mil kwa Lipumba = 15 % ya wale Mil 20 au 8/34 x 64% = 15% ya wale 20 Mil

na kumbuka we subtracted 10% kwa kuweka maheasbu sawa, RAIS WANGU DR SLAA sijui kitu, sielewi chochote loud & Clear
 
Obama good kama tuko darasa moja tunashindania namba moja ktk hesabu. Watu wa sociology hawajui. Mimi rais wangu ni Dr Slaa natafakari jinsi ya kulipa kodi kupitia serikali ya wananchi inayoongozwa na Chadema ameshinda kwa kura nyingi zaidi. Wasiojua hesabu wasibeze watu elewa au uliza.
 
Yah Mkuu i wonder jinsi wakwere wengi humu, maana rais wangu na wako Dr Slaa tunajua mahesabu, hata mm sitaki kuongozwa na mkwere he doesn't even know addition? addition...? kweli huyu mkwere kakwereka ndio maana wanaiba kama shuleni wasiojua somo kazi yao ni kuiba mitihani, au kuibia wale wanaojua somo, so mkwere katuibia kura kwa sbb hata simple maths hajui, addition, subtraction..? hii ni magazijuto so simple, je logarithms, calculus & analysis, logic, Probability & Combinations, algebra, geometry & topology, etc yaani sitaki kulipa kodi yangu kwa mtu asiye jua kutoa na kujumlisha, period, ndio maana anahidi vitu asiye jua, upupu, hewa promises, he is out of touch, nasema si Rais wangu, ni haki yetu kusema hili, hadi kieleweke
 
Hesabu ni tatizo la kitaifa, kuanzia Rais hadi wafuasi wake...! Yeye kapata 61% anaona ameshinda....!
 
Malunde wala wasikusumbue hesabu iko wazi. Ni kweli namba zinawaliza wengi ndo maana hata wachakachuaji wamejikuta wanaleta vitu havionai kila mara. Msioelewa fanyeni juhudi msaidiwe mitaani maana kwa mwendo huu mafisadi wataendelea kuchekelea.
 
Rahisi chakachuzi kutangazwa mshindi kwa 5% ya wapiga kura yasema kweli moja. Ulinzi wa wananchi ulifanya ngumu kuongeza masanduku ya Tunduma. Njia ilobaki ikawa kufuta kura za Slaa mpak ziwe chini ya mkwere. Kama pamoja na wizi ndo zimefikia 5% haishangazi kwanini watanzania wengi wameshndwa kuyakubali machakachuzi haya. Kuna siku watajikuta wanabwatukiana mbele za watu. We nini kwanza nisingechakachua ungekuwa rahisi leo? etc tusubiri siyo mbali.
 
Back
Top Bottom