Jumla ya kura walizopata wagombea yazidi number of valid votes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumla ya kura walizopata wagombea yazidi number of valid votes

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jackbauer, Nov 5, 2010.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Katika hali ya kushangaza mh judge lewis makame ajichanganya kwenye kutaja matokeo ya mwisho ya urais.hivi ndivyo alivyosema:
  valid votes-8398394
  mziray-96933
  kikwete-5276827
  slaa-2271941
  lipumba-695667
  rungwe-26388
  Tlp-17482
  dovutwa-13176
  nikifanya mahesabu ya kujumlisha ninapata utofauti wa vichwa 20 kati ya valid votes na kura walizopata wagombea.CHUNGUZA!!
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Actual = 8398414

  NEC= 8398394
  Kama hujakosea fig basi ni kweli kuna tofauti ya 20. Nafikiri katika karne hii kuna mtu anajumlisha kura kwa mkono. Hapa nimecopy na kupaste kwenye excel na kupata hiyo tofauti ya 20
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tunahitaji ku review video au audio clips.ni aibu sana.nahisi walichukua % na kuanza kumultply kwa total.mwisho wa siku ikatokea watu 1/4,1/2 mwisho wakawa 20.
   
 4. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 60
  hapa mbona kura zilizoharibika hamna au ndiyo hiyo 20 inaonekana uchakachuaji ulikuwa mkubwa sana mpaka akasahau maana alikuwa anacup and paste
   
 5. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Yes tofauti ni 20
   
 6. M

  MpitaNjia Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh balaa kweli kweli
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  please can people in the know verify this please (dr slaa people), invisible and others please verify this, this might be the last nail in the coffin of nec:smile:
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Nilipokuwa shule ya msingi hasebu nilizokuwa nazipenda ni za kujumlisha na kutoa - niliweza kutumia visoda kuhesabu.
   
 9. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndo faida ya kuweka wapigadebe kwenye idara nyeti za serikali, bila kuangalia uwezo wao kifikra! Mtu yoyote hapa JF atunge wimbo wa kumsifu JK, kama akikosa cheo naje anilaumu!!
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  sasa ni 21 au 20? ahhhgggggggg
  ngoja na mimi nifannye hesabu:-
  Kwamujibu wa Kikwete 2010 blog ni kuwa:-

  [FONT=&quot]Walio piga kura 8,626,283 – 42.84%[/FONT][FONT=&quot][/FONT][FONT=&quot]

  [/FONT]
  [FONT=&quot]Kura zilizoharibika – 227,889 – 2.64%[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Kura halali – 8,393,394 – 97.36%[/FONT]


  Idadi ya kura na asilimia kwa kila chama ni kama ifuatavyo:
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]1. APPT Maendeleo - 96,933 – 1.12%[/FONT]


  [FONT=&quot]2. Chama Cha Mapinduzi – 5,276,827 – 61.17%[/FONT]
  [FONT=&quot]

  [/FONT]
  [FONT=&quot]3. CHADEMA – 2,271,941 – 26.34%[/FONT]
  [FONT=&quot]

  [/FONT]
  [FONT=&quot]4. CUF – 695,667 – 8.06%[/FONT][FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]5. NCCR Mageuzi – 26,388 – 0.31%[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]6. TLP – 17,482 – 0.20%[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]7. UPDP – 13,176 – 0.15%

  sasa basi:-

  [/FONT]
  [FONT=&quot]96,933 + [/FONT][FONT=&quot]5,276,827 + [/FONT][FONT=&quot]2,271,941 + [/FONT][FONT=&quot]695,667 + [/FONT][FONT=&quot]26,388 + [/FONT][FONT=&quot]17,482 + [/FONT][FONT=&quot]13,176 = 8,398,414 kura halali za vyama.
  Zilizo haribika ni [/FONT][FONT=&quot]227,889, so TOTAL ya kura zote ni 227,889 + 8,398,414 = 8,626,303 JUMLA YA WATANZANIA WALIOPIGA KURA.
  sasa basi ni kweli kuna TOFAUTI YA KURA 20. au ndio margin ya error? +20/-20, hawa jamaa hawaishi kuwashangaza watu unaweza kusikia hivyo.
  [/FONT]
   
 11. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Ni kweli hizi kura zina makosa. Kweli idara zetu zina wababaishaji wengi sana. Makosa madogo madogo haya yanaweza kuleta vurugu kwenye nchi.

  Wamekosea kura za mgombea wa TLP na wamemuongezea kura 20. Yeye kapata 17,462 lakini msomaji alitamka 17,482.

  Nimehakikisha kwenye spreadsheet yao kura za Mgaywa Muttamwega ni 17, 462. Jaji Makame mwenyewe ndiye alikosea wakati wa kusoma. Yaani hakukuwa hata na watu wa kumwambia mzee umekosea?
   
 12. T

  Tofty JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  namkumbuka mwalimu wangu wa somo la hisabati enzi zile za shule ya msingi..............
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,656
  Trophy Points: 280
  Kazi ya uchakachuaji huwa Mwenyezi Mungu anawapofua macho mafisadi ili uovu wao tuuone mchana kweupe..................

  Psalm 50:21 "These things you have done, I kept silent and you thought I was altogether like you, but I will rebuke you and set them in order before your eyes"
   
 14. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45

  Hii hapa ni analysis ya kwangu

  Tatizo lipo NEC,nimefanya mahesabu na kuona kuwa kwa mujibu wa NEC

  Watu waliopiga kura = 8,626,283

  Sasa basi;

  Kura zilizopigwa = Kura Halali + Kura zilizoharibika

  Kura zilizopigwa = 8,393,394 + 227,889 = 8,626,283
  Idadi ya kura walizopata wagombea = 8,626,303
  Watu waliopiga kura = 8,626,283

  Kura zilizopigwa = Watu waliopiga kura = Idadi ya kura walizopata wagombea
  (Mtu mmoja anapiga kura moja TU ya uraisi)

  Kwa hiyo kuna tofauti ya kura 20 kati ya kura zilizopigwa na zile walizopata wagombea.
  UKIHAKIKI MAHESABU YAO YA ASILIMIA NI SAHIHI ILA IDADI YA WALIOPIGA KURA NA KURA HALALI SI SAHIHI

  HUU NI WIZI WA WAZI WAZI!!!!!!!!! AU NEC WAMEKOSEA KATIKA IDADI YA WATU WALIOPIGA KURA NA KURA HALALI(-20 : PUNGUFU KWA ISHIRINI)

   
 15. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Wamekosea hizo kura za mgombea wa TLP wakati wa kusoma. Wamemuongezea kura 20 ndio maana mahesabu yanakataa.
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  hivi haya makosa wanayoendelea kuyafanya ni mangapi???, naomba na hili wapelekewe ili waliweke sawa kwenye vyombo vya habari ili watu waendelee kuona how incompetent they are please anyone who can pass this info kwa vyombo vya habari please lets do our duty as citizens na kuodoa hii cancer inayoitwa nec:A S angry:
   
 17. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Duh kazi ipo
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ni bora ipelekwe mapema panapohusika kabla rais hajaapishwa.sijui katiba/sheria zinasemaje kuhusu jambo hili.aibu aibu aibu sana.
   
 19. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  These people (NEC) are not serious !
   
 20. B

  Babasean Member

  #20
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana NEC hawajasoma hisabati za MAGAZIJUTO?
  Lakini hili linawezekana kwa kuwa hata JK mwenyewe alikiri kuwa hapendi hisabati wa hesabu.
  sasa sembuse Lewis Makame na Kravu?
   
Loading...