Recent content by Mpigania Uhuru

  1. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Hakuna mtu anaweza kufa bila kupata cardiac arrest. Cardiac arrest maana yake ni moyo kusimama (yaani kifo), kwa hiyo kifo hakiwezi kuwa sababu ya kifo. Maneno au report kama hizi zinasababisha wenzetu nje ya nchi wakisikia waone Tanzania hakuna watu wanaojitambua. Nafikiri familia ilimaanisha...
  2. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuomba kazi mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) mpitie hapa

    Mkuu mimi nipo UN kama international personnel, kwa ufupi kimsingi hakuna shirika lolote la UN linalotajiri mtu mara ya kwanza katika mazingira ya kawaida kwa mtu kutuma CV kwa email. Wengi wanatumia form inaitwa P11 ambayo utaikuta online tayari kwa hiyo utakuwa unajaza kila step, mwisho wa...
  3. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Kujifungua mtoto wiki ya 23

    Unhitaji kuonwa na daktari wa magonjwa ya kinamama kwa uchunguzi zaidi. Sababu zipo nyingi, kutokana na maelezo uliyotoa ingawa bado kuna vitu sivijui kuhusiana na wewe, kuna uwezekano kiwango kikubwa kuwa ni Cervical incomptence. Tiba yake ni wakati wa uja uzito kuna dawa unaweza pewa na...
  4. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Benki kuweka wazi taarifa za fedha za mtu kwenye sakata la Mwanza limekaaje?

    Kutokana na hiyo taarifa, account yangu ya CRDB sitaitumia tena kwa alili ya biashara zangu. Hii tabia ya kutoka siri za wateja, inaonekana wanayo siku nyingi. Account yangu naenda kuifunga.
  5. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Nauza Tank za maji za lita 1000 zile zenye chuma bei nafuu

    Unapikana mji gani na mtaa gani?
  6. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla atoa dongo kwa UKAWA

    C v
  7. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kwa mtu aliyepata ulemavu kazini

    Kuna mfuko umeanzishwa unaitwa WCF, utaanza kupokea claims mwaka huu July 1 mwaka huu. Ila yeye anaweza asiwe eligible.
  8. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kwa mtu aliyepata ulemavu kazini

    Ni Kweli alivyomweleza mwanasheria. Afadhali amechukua hiyo hela faster. Andeenda mahakamani angelipwa hela isiyozidi laki na ishirini. Cha kumsaidia aongee na hao Wachina vizuri, aendelee kuajiriwa na hao wachina katika section ambayo ataimudu na ulemavu wake.
  9. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Ebola walipuka Congo DRC (Ebola outbreak: DR Congo confirms two deaths)

    The Democratic Republic of Congo has confirmed that an outbreak of haemorrhagic fever in the north of the country has been identified as Ebola. Health Minister Felix Numbi told the BBC that tests on two people had confirmed the disease in Equateur province, where 13 had already died. But...
  10. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Ebola walipuka Congo DRC (Ebola outbreak: DR Congo confirms two deaths)

    Hao ni wagonjwa wa kwanza wa Ebola kuripotiwa nje ya Afrika Magharibi tangu kuzuka kwa ugonjwa huo huko, ingawaje haijaeleweka wazi kama vifo vya watu hao vinahusiana na mlipuko wa Ebola katika nchi za Afrika Magharibi. Mpaka sasa watu 1,427 wamekufa kutokana na maambukizo ya virusi vya Ebola...
  11. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Drowning

    sawa mkuu, nikipata muda nitaweka kwa Kiswahili pia, ila natamani kila mwana JF angeisoma hii article akaielewa, hasa wale wanaopenda kutoka outing ambazo ambazo wao wenyewe au rafiki zao wanapenda kuogelea!
  12. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Drowning

    With the recent story about kids who were drowning in Land mark swimming pool, I thought it is good idea to share knowledge about drowning; The Instinctive Drowning Response—so named by Francesco A. Pia, Ph.D., is what people do to avoid actual or perceived suffocation in the water. And it...
  13. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

    Haya mahesabu yanategemea mzunguko wake ni wa siku 21, 28, 35 etc. Kama mzunguko wako ni wa siku 28 tarehe ya makisio ni 15 April 2014.
  14. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA: Waganga wa kienyeji wawazidi Madaktari (MAT)

    Nianze kwa kusema kila taaaluma ina umuhimu wa kipekee katika jamii. Katika sekta ya afya katika hali ya kushangaza Rais aliyatupilia mbali majina ya drs waliopendekezwa na MAT na badala yake akaona fani ya afya iwakilishwe na maoni kutoka chama cha waganga wa jadi. Aidha serikali...
  15. Mpigania Uhuru

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa udiwani Chadema adaiwa kutekwa

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA KANDA YA KASKAZINI (Tanga, Kilimanjaro, Arusha & Manyara) TAARIFA KWA UMMA WAGOMBEA WA UDIWANI - KANDA YA KASKAZINI Tarehe 15 Januari 2014, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI kuwania nafasi za uwakilishi...
Back
Top Bottom