Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
By Mtanzania digital
Kukamatwa fedha
Inaelezwa mmoja wa watuhumiwa aliyekutwa na Sh milioni 305, alishindwa kutoa maelezo ya kina kwa maofisa wa benki juu ya matumizi ya fedha hizo.
Kutokana na maelezo yake kusuasua, hali iliwafanya maofisa wa benki kumtilia shaka na kuamua kutoa taarifa kwa mkuu wa mkoa.
Inadaiwa maofisa wa benki walipomhoji mteja wao sababu za kuchukua fedha nyingi bila kuwa na barua, alidai anakwenda kununulia dhahabu na walimtaka kufuata taratibu alidai ana dharura.
Hata hivyo ilielezwa kuwa kabla ya kukabidhiwa kiasi hicho chs Sh milioni 305, tayari taarifa kwa mkuu wa mkoa na vyombo vingine ilikuwa imefikishwa na ufuatiliaji ulikuwa unaendelea hadi walipokamatwa eneo la Kivuko cha Busisi wilayani Sengerema.
=====
Maburungutu yale yalikuwa na nyuzi za CRDB kama sijakosea;
1. Kama mteja alipaswa kufuata taratibu fulani ili kuweza ku'withdraw' 305mil na hakuzifuata, kwanini bado aliruhusiwa ku'withdraw'?
2. Mteja alikuwa akitoa fedha zake mwenyewe kutoka kwenye account yake mwenyewe, kwanini bank iliingia wasiwasi? Wasiwasi ulikuwa wa nini?
3. Vipi kuhusu clause ya confidentiality/ usiri wa taarifa za mteja? Bank ilikuwa sawa kutoa taarifa zake kwa mamlaka? Tena bank kwa kupenda tu yenyewe ikaamua kuzitaarifu mamlaka?
Something fishy about this saga!