Recent content by mpiganajihai

  1. mpiganajihai

    Gwajima sasa aja kivingine kuhusu ajali za barabarani

    Rirete hapa ninalopinga, mpaka watangazaji wanauliza kama kesho kuna ajali waandae kabisa taarifa. Mpaka inafika October, mh. Mungu wa Gwajima labda aingilie kati.
  2. mpiganajihai

    Kingunge Ngombale Mwiru atetea Mahakama ya Kadhi ITV

    Tupige vita UKIMWI, KIFUA KIKUU, MALARIA, EBOLA, DENGUE ni magonjwa na yanaua ndugu.
  3. mpiganajihai

    Album ya nyimbo za Gwajima yatoka

    Muanzisha uzi, ulikuwa una malizia bando la bure au? Sitegemei JF kukuta watu kama wewe wenye thread zilizojaa utumbo. Grow up please.
  4. mpiganajihai

    Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Naanza kuelewa sasa Tanzania sio nchi ya amani hata kidogo, kama mtu anayeliombea Taifa kila siku na serikali ni shahidi anazungushwa hivi, mara njoo kesho, na mambo fulani, ni bora nchi ijue sasa kumbe kuna watu wanamalizwa kila siku kimya kimya na dola. Gwajima ana bahati kweli na katika hili...
  5. mpiganajihai

    Audio: Askofu Gwajima aelezea mkasa wa kilichotokea

    Jambo hili limetokea, tumeweza kuwaona wasio na akili wanafyatuka, tumia akili kidogo uliyonayo kujiuliza kwann pengo alikaa kimya baada ya karipio anajua amemurudisha Yesu msalabani.
  6. mpiganajihai

    Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kukariri kubaya sana me nilitegemea maneno ya watu kwamba mtu akitoka maeneo ya polisi huwa ana kaa kimya wala hawezi kuongea tena. Gwajima pamoja na yaliyomkuta bado ana ujasiri wote. Nakumbuka alisema kwenye audio yake kwamba atasema kila kitu akitoka huko kama ambavyo hapindishi, kweli...
  7. mpiganajihai

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Sio vibaya kutikisa kiberiti, shida ni pale unapokuta njiti zimejaa kiasi cha kuwasha moto nchi nzima, wale waumini ni wakali na wako makini. Napata shaka kama mambo hayo wanasomea kwenye hayo wanayoita majesh majeshi, nimepita mitaa mingi watu wanamuita msemaji wa wananchi. Hivi kanisa lake ndo...
  8. mpiganajihai

    Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

    Aliyeanzisha uzi nina mashaka a akili yako kama ni timamu, kamwombe Mungu kabla ya kuja hapa kuandika mambo yako. Hufai kabisa. Ilo lina faida gani? Jiandikishe ukapige kura ya HAPANA.
  9. mpiganajihai

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Nimeamini nilichokiona leo, sio wakuchezea kumbe serikali ilikosea sana
  10. mpiganajihai

    UKAWA mnafanya kosa la kiprotokali

    Gwajima kweli ni shujaa, mpiganaji, msemakweli bila kuogopa, bora ukamuacha kuliko kumchokoza binafsi nampenda na ni mfano wa kuigwa swala la kutumia maneno ambayo hata muhusika hayamuumi. It's shame kabisa.
Back
Top Bottom