Recent content by Mpigakura mbumbumbu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchokozi kwa vyama

    Kwani vyama ndiyo huleta maendeleo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Slaa huko EU

    Wengine kwao urais ni kiongozi kulalamikia chama tawala na kueleza shida za wananchi ambazo wenyewe wanazijuwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Huo mfano uliyoutoa utabaki kuwa hivyohivyo ni mfano tu,lakini kiuhalisia Jf haipo hivyo kama wengi wanavyofikiri. Wanachokijua wananchi ni kwamba huyo jamaa ana kashfa ya ufisadi na hadi amejiudhuru kutokana na jambo hilo. Sasa sie humu kubishana kuwa huyo jamaa alifisadi kweli ama si kweli...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili TCRA imulikeni Azam TV

    Hiyo ZBC mbona kwenye Startimes ni ya kulipia?
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Jamaa ana dharau za wazi kabisa na kujiona yupo sahihi kwa kila jambo sijui akiwa mkuu wa nchi itakuwaje!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Jamaa ana dharau za wazi kabisa na kujiona hakosei ktk mambo yake sijui akiwa mkuu wa nchi itakuwaje!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Hivyo ndiyo lazima awe rais ili tuweze kumtumia?
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Mkuu teyari huyo mtu anakashfa hayo maswali unayoyauliza wewe humu kama njia ya kuthibitishiwa ufisadi wake sidhani kama watanzania(wapiga kura) wote wanafuatilia au kuyajua hayo,huyo jamaa kwa wananchi huku wanamtambua ni mtu mwenye kashfa ya ufisadi hivyo Jf haitosaidia kumfanya wananchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Mi sioni ulazima wa hadi uwe rais ndiyo uibadiri Tz yako kama kweli unania hiyo,Urais si kitu ambacho mtu yeyote anaweza akawa , kwa sababu tu ana sera nzuri au anapigia kelele ufisadi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Geita: Polisi apigwa kwenye mkutano wa CHADEMA

    Sasa kama ni hivyo basi police nao wakifanya yao msije kulalama humu,maana inaonekana mmeamua kuwa kama mbwaimbwai.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukiniuliza nani ungependa awe Rais wa Tanzania

    Mkuu huu ushabiki wa kisiasa ndiyo unatufikisha huko,mtu anatamka maneno bila hata kuelewa hasa maana yake ni ipi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukiniuliza nani ungependa awe Rais wa Tanzania

    Hivi nyie mnaesema kwamba ccm huwezi kupata kiongozi msafi na kutoa mifano sijui ni kama na kutafuta bikra leba...hivi mnataka kusema kwamba ukawa mnaviongozi ambao ni malaika watupu? Maana hakuna mtu ambaye anayezaliwa akiwa fisadi. Na ndiyo maana baadhi ya watu wenye kuendelea kuipigia kura...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukiniuliza nani ungependa awe Rais wa Tanzania

    Magufuli hadi kufikia hatua ya watu kumtaka awe rais ni sifa yake ya uchapaji kazi wake kila mtu anajua suala hilo. Sasa mie naona tungetizama sifa za Dr.Slaa na Mh.Magufuli tuone ni nani mwenye sifa zenye kufaa kuweza kuwa rais. Maana sie wengine hatuna vyama vya kushabikia na ukiangalia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua hili toka wa Dr ,SLAA

    Huu ushabiki wa vyama sijui utatuisha lini watanzania.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je Viongozi wa UKAWA bado mnaendelea kuwadanganya Watanzania kuwa uchaguzi haupo Oktoba?

    Mfumo wa vyama vingi afrika ni shida tupu.
Back
Top Bottom