Hivi unajua hili toka wa Dr ,SLAA

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
494
Katibu mkuu wa chadema dr willbrod slaa ni mwanasiasa pekee wa tanzania ambae huongea lugha zaidi ya 5 tena kwa ufasaha kabisa

1: Kiswahili

2: Kiingereza

3: Kireno

3: Kiitaliano

4: Kijerumani

5: Kiratini

6; Kirusi

7: Kiispania

ImageUploadedByJamiiForums1433739303.128351.jpg
 
Katibu mkuu wa chadema dr willbrod slaa ni mwanasiasa pekee wa tanzania ambae huongea lugha zaidi ya 5 tena kwa ufasaha kabisa
1:kiswahili
2: kiingereza
3:kireno
3: kiitaliano
4: kijerumani
5: kiratini
6; kirusi
7:kiispania
View attachment 258318

Anastahili kupewa kura ya ndio pale October,sio tu kwa kuongea hizo lugha kwa ufasaha ambacho nacho ni kigezo muhimu sana kwa kiongozi hasa kwa nafasi ya urais,bali ni uadilifu wake maana hana tuhuma zozote za ufisadi pia ni mchapakazi hodari
 
kama kigezo ni lugha kwanini tusiwape nafasi watu wanaojua lugha za hapa nyumbani kama vile ZUBERI MSABAHA (ZM) au Wambura Mtani Wambura , huyu kajifunza lugha za wakoloni nadhani tukimpeleka kule isukamahela hawezi kufikisha ujumbe ok tafakari chukua hatua.
 
that won't help kukuza uchumi wetu ...siku hizi technology imekua.. Kuna watafsiri na vifaa vinatafsiri.....

kujua lugha nyingi ni vizuri but it is of no importance.

Kama Rais hata angeongea kimeru,,, bado ujumbe ungefika popote unapohitajika....
Maamuzi & Miongozo yake ndio kitu cha msingi hata angetoa kwa =>kiswahili bado utekekezaji utakuwepo because he is the President.
 
kama kigezo ni lugha kwanini tusiwape nafasi watu wanaojua lugha za hapa nyumbani kama vile ZUBERI MSABAHA (ZM) au Wambura Mtani Wambura , huyu kajifunza lugha za wakoloni nadhani tukimpeleka kule isukamahela hawezi kufikisha ujumbe ok tafakari chukua hatua.

kwani huko Hamna wanaojua kiswahili?
 
Kiswahili chenyewe cha kimbulu.lugha doesn't matter international inayotumika ni English ambacho cha kwake ni broken tupu nilimsikia majuzi alipokuja hapa marekani ilibidi baadhi ya wamarekani niwarudie alichokuwa anasema
 
Anastahili kupewa kura ya ndio pale October,sio tu kwa kuongea hizo lugha kwa ufasaha ambacho nacho ni kigezo muhimu sana kwa kiongozi hasa kwa nafasi ya urais,bali ni uadilifu wake maana hana tuhuma zozote za ufisadi pia ni mchapakazi hodari

Mkuu una hakika na unachokisema?
Unaishi Tanzania na kufuatilia mambo yanayojiri hapa TZ?
 
Si kwasababu ni kichwa! Lugha 8 (ongeza lugha ya mama) ni mchezo! Dokta anatisha! Huyu ndo Rais tunamtaka. Umeona cv yake ya elimu!? Ni kisanga!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom