Recent content by mpiga domo

 1. mpiga domo

  News Alert: Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

  Huu uzi ninahisi kuna mtu mmoja ameufungua halafu anauchangia kwa ids tofauti tofauti na lengo lake ni kumchafua mama. Mama ni mtu wa vitendo, mfano mdogo agizo kuhusu TRA kutotumia nguvu na tumeona tayari wafanyabiashara ambao account zimefunguliwa tayari. Na mengi mazuri yanakuja, stay tuned
 2. mpiga domo

  Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

  Key point to note, "KILA ZAMA NA KITABU CHAKEEEEEEE"
 3. mpiga domo

  Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

  Kaongea point tupuuuuuu, hawa ndo wachache tuliobakiwa nao wanaojitambua.
 4. mpiga domo

  Vijana wa ccm ndo wapinga maendeleo,watu waliokosa uzalendo .

  Nimeamini tulikua tumepandikizwa roho za kichawi, za kutaka wote tuwe fukara. Tushukuru Mungu kwa kutuletea mama mkombozi wetu.
 5. mpiga domo

  Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

  Piga chiniiiiii mama, hawa ndo watu watatukwamishaaaaaaa, hii ni awamu ya SITAAAAA
 6. mpiga domo

  Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani mama kawashika pabaya mmebaki mnaongea utopolo tuuu, na mimi nasema ashikilie hapo hapo hadi mjue hii nchi ni yetu soteeee
 7. mpiga domo

  Huu ni ushamba au itafiki ya lazima katika kutambulisha viongozi na watu maarufu hapa nchini?

  This is so low of you, you can do better than this. Ukanda unaku, "cost".
 8. mpiga domo

  Nimempa ujauzito mpenzi wa rafiki yangu

  Wameingia cha kike, alisikika mwanamziki mmoja
 9. mpiga domo

  Mlioachana na wake zenu wa ndoa, ushuhuda au ushauri wenu unahitajika tafadhali

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila we mwamba nimekuinulia mikono[emoji119][emoji119][emoji119] Ila one thing is for sure you are unconventionally intelligent and blunt in your rhetoric ndo maana wabongo wanakuona upo rude. Washazoea kuishi kwenye ulimwengu wa fake nice.
 10. mpiga domo

  Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

  [emoji28][emoji28][emoji28] inachekesha lakini inasikitisha
 11. mpiga domo

  Guest house nzuri around Mlimani City

  nenda pale Azania hotel sinza kwa remmy
 12. mpiga domo

  Ndoa imenishinda. I need prayers

  Pole sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 13. mpiga domo

  Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

  Chadema na ACT vimekuja kuwa vyama vya ovyo haijawahi pata kutokea, vimekua ni vyama vya mihemuko na udaku bila hoja, falsafa au sera za msingi.
Top Bottom