Hasheem Thabeet yupo zake Dar anacheza ligi ya mkoa

Enzi hizo za shule pale stand ya Mwenge Makondakta walikua wanamkataa HT maana alikua mwanafunzi, hawezi kusimama kwa urefu wake na kulipia siti ya mtu mzima mtihan basi ilibidi awe anakalia siti kwa bei ya mwanafunzi, Makondakta walikua wanakasirika mnooo siku zingine tunazuiwa kupanda gari sababu yake,

#Memories.
Wewe umesoma na Hashim Zabeet?
 
Wapi babu chacha na afande miraji
 
Mcheza mpira wa kikapu wa Kitanzania, Hasheem Thabeet yupo zake hapa Dar, akicheza ligi ya kikapu ya mkoa maarufu kama Ligi ya RBA.

Inaelezwa Hasheem yupo zake ila sio mtu wa kujichanganya sana, kama sio mtu wa Kikapu huwezi kujua kama yupo Bongo.

Natamani niendelee kuandika ila niishie hapa, tuna ya kujifunza mengi toka kwa Hasheem
Mweee mweeeee !
 
Jamani tuweni serious kidogo.
Hivi kweli Hashimu wa NBA ni mtu wa wakurudi na kucheza RBA?
Hii ni shida ya wabongo Hashim ni world class celeb kuna ubaya gan akija kusapot nyumbani nilikua kuna mahali niliona alikua Philippines kule raia walikua wanamkubali mbaya Japan ndio usiseme
 
Kulikua na mchezaji wa kikapu NBA miaka ya 70/80s aliitwa Wilt Chamberlain,,alikua mrefu balaa, futi7 uko,lakini mama ake alikua 5.9ft na Baba ake alikua 5.7ft
Hivi wazazi wa huyo mwamba wapo na height kama ya jamaa hapo ama inakuaje maana sio kwa kimo hicho ..
 
Enzi hizo za shule pale stand ya Mwenge Makondakta walikua wanamkataa HT maana alikua mwanafunzi, hawezi kusimama kwa urefu wake na kulipia siti ya mtu mzima mtihan basi ilibidi awe anakalia siti kwa bei ya mwanafunzi, Makondakta walikua wanakasirika mnooo siku zingine tunazuiwa kupanda gari sababu yake,

#Memories.
Maisha ni safari aisee.... kapambana Sana huyu mwamba.

Kila laheri kwake.
 
Hivi huyu jamaa alikumbuka kununua government bonds kweli? Maana kwa hela aliokuwa analipwa ni wazi angeweza nunua bonds hata za 5B maisha yangekuwa mazuri hadi hii leo. Na hata hicho kikapu angekuwa anacheza for fun tu.
 
Back
Top Bottom