Recent content by mpiga dili mzoefu

  1. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyama vya Siasa, Tanzania

    Hamna kitu pale yani lumumba wamebaki wasen.g.e wote wanatuharibia nchi tu hawana fikra hata moja Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wawekezaji wakichelewa kufanya mazungumzo na Serikali nitafunga migodi yote nchini

    Huyu jamaa amechemka kabisa na yeye analijua hilo hana mbinu za kuongoza serikali anatapatapa tu na wanaomshangilia hawajielewi hata kidogo huyu ni mkurupukaji mmoja tu mropokaji ameshindw hata kuajili manesi watu muhimu anaruka ruka tu na kutisha watu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania ACACIA je watatulipa lini trillion zetu?

    Mazungumzo ya ACACIA na serikali yanaanza lini njaa inatuua tunasubiri hela. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Migodi yapanga foleni mahakama za Kimataifa,sasa mgodi wa Geita watinga kortini

    Acacia wanatulipa lini nasubir hela mm Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  5. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hotel ya Ryan Bay Mwanza kubomolewa

    hawawezi kubomoa hawana ela ya kujenga reli wanatuletea story nyingi tu kiufupi serikali ya huyu jamaa haitafanikiwa kwani anavinyongo na watu na tambua mtu mwenye kinyongo huwa hafanikiwi hvyo kubomoa hawez ela ya reli anatoa wap
  6. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawanywi maziwa ya kutosha

    *kwa uchumi gani unywe maziwa ule mayai*
  7. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [anhaa]
  8. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Serikali iweke vigezo, shule binafsi zianze kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano

    ndg yangu hii serikali utaishauri nn ikiwa wabunge wetu wakisema spika anawatoa nje wafanyabiashara hawapo tena ..na hakuna mwekezaji amekuja toka jamaa aingie madarakan wote hawapo hajapandisha mshahara mkopo vyuoni hakuna sekta binafs hasa mabenki yanaweza sana kukopesha wanafunzi tatzo sera...
  9. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako: Serikali iweke vigezo, shule binafsi zianze kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano

    hapo wanakuambia eti bajeti ya bodi ni kusomesha wanafunz 27 elfu .tatzo lao hawaangalii sensa ila wanakurupuka na kuua uchumi leo hakuna mpango wa ajira ,elimu ya juu,nk tupo watu milion hamsin wanatutreat kama tupo milion tano ccm imetushindwa ikubali kukaa pembeni
  10. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania HESLB! mtauwa watu

    lipeni deni wakati wenzenu wanajisomesha mlikua mnaenda club tu
  11. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli mpaka Sasa TRA inakusanya Kodi wastani kwa Mwezi TZS.1.3Tril?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    Mwanaume haoi mke mmoja angalia ibrahimu nabii angali akina daudi sulayman wamasai wasukuma mzee mwinyi na mifano mingi tu utakuta mwanaume ana wake zaid ya mmoja kama ana mke mmoja bas ana watoto wengine aliozaa na mke mwingine ..angalia hata kwa mtume muhammad ..hvyo mwanaume hawez kua na mke...
  13. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special kwa wadada

    We jamaa kila post upo
  14. mpiga dili mzoefu

    JamiiForums Tanzania Thaqaafa high school 2003 tuonane hapa

    Thaqaafa my school daah ww unaeiponda ni kilaza kbs fuatilia wamesoma akina nani pale
Back
Top Bottom