Thaqaafa high school 2003 tuonane hapa

ngoshaboy

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
231
197
Habari zenu vijana wenzangu? Napenda leo tukumbushane wale tulioanza form 1 mwaka 2003 kwa jina na stream ulokuwa.
 
Shule maalum wap?kajamba nani bana huwa mna mbwembwe. Siku hizi hamna cha shule maalum wala nn

Fichà ujinga wako

Siku hizi!Wenzako tulisoma kipindi kile ambacho hakukua na mitihani ya "kushedi" wala hatukutumia OMR,kipindi ambacho kulikuwa na kufaulu na kuchaguliwa,si kipindi hiki ambacho serikali inahamisha attendance register ya shule ya msingi na kuipeleka yote sekondari na kuwadanganya eti mmefaulu darasa zima.
 
Tatizo umekariri sana. Fatilia thaqaafa ilianzishwa mwaka gani kisha tafuta lake secondary nayo ilianzishwa mwaka gani halafu uje kujitapa hapa kwa hio aina ya mitihan yako
.usiwe mjuaji kwa kila kitu.
Siku hizi!Wenzako tulisoma kipindi kile ambacho hakukua na mitihani ya "kushedi" wala hatukutumia OMR,kipindi ambacho kulikuwa na kufaulu na kuchaguliwa,si kipindi hiki ambacho serikali inahamisha attendance register ya shule ya msingi na kuipeleka yote sekondari na kuwadanganya eti mmefaulu darasa zima.
 
Hahaha...! Pale Mr.Marzuk Magongo, hapa unampata Mr.Luyima Sulait, kule Madam Opiyo, mara Mr.Bulowi Chacha, kulia yupo Semakule. Raha sana THS
 
Hatujasoma shule za kata na za private.
Wengi humu ni Minaki Ruvu,Umbwe,Songea boyz,Ifunda,Kigonsera,Mkwawa,Kibaha,Tosa nk.
Kigonsera lile camp ni hatari sana, nimeyamiss sana maembe
 
Back
Top Bottom