mpiga dili mzoefu
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 123
- 104
lipeni deni wakati wenzenu wanajisomesha mlikua mnaenda club tu
Mweeee, jamanii, kuna wazee humu muwe waangalifu nyie vijanateh Namngoja mzee wako aje anyonye mkuu
Mweeee, jamanii, kuna wazee humu muwe waangalifu nyie vijana
Hakuna dili kule, kahamia kwenye MakanikiaNa Gwiji la sheria Tundu Lissu wa TLS tehe tehe
Huyo jamaa ropo ropo sana, pesa mbeleHakuna dili kule, kahamia kwenye Makanikia
Naona mkuu unaongea kwa hisia Kali sana.....Serikalini imekosa huruma kwa watu wake! Mtu ana basic salary ya laki 5 kisha anakatwa 15% ya mshahara hapo bado makato mengine! Katika awamu hii watumishi watakuwa na hali ngumu sana!
Karibu mkuuIla yote yataisha tu mzee wa leganga na tanzanite
Raisi yupi unayemuomba?Wakuu Eid Mubaraka. Hakika mwezi huu umekuwa mgumu kwa sisi wafanyakazi, bodi ya mikopo inafyeka mpaka mtu unakosa ufanye nini. Tunaomba mheshimiwa raisi uturudishie ile asilimia angalau tuweze kumudu maisha, kiasi tunachokatwa ni kikubwa mno. Tutaishije?