Recent content by Mpenzi mtazamaji

  1. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mabadiliko ya hedhi

    Mimi pia naomba msaada! Ilitakiwa niingie P terehe 21 mwezi huu. Siku hiyo nilikuwa na dalili zote za kuanza P. Lakini cha ajabu mpaka leo hii sijaingia! Shida nini kwa mnaofahamu. Je, nimeshika mimba?
  2. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    Naomba kujua kama kuna basi zuri Mwanza - Mbeya, kama lipo
  3. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Africa kuwa koloni la Wachina, nani alaumiwe?

    Alaumiwe Mbowe!
  4. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatongoza dai kitambulisho, Kenya wameonyesha njia

    Ndugu yangu hata kapicha hamna ka kusindikiza uzi?
  5. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mtakatifu Perpetua na Felista

    "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"....! Pole zako Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo mafupi kuhusu viagra

    Wakuu, heri ya mwaka mpya 2019 Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu "Viagra" naomba anisaidie kwa kunipatia maelezo yake mafupi. Matumizi yake, faida na hasara zake pamoja na zinakopatikana. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Kidume salio halitoshi ama umeishiwa? Ongeza salio - 18+

    Nitaipata wapi hii mkuu? Kwenye maduka ya madawa ipo? Kwa mnaofahamu naomba mnisaidie kwa kunipatia dondoo chache na inakopatikana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Kuna wimbo fulani wa kisouth afrika, ni instrumental tu mwanzo mwisho. Bahati mbaya sifahamu jina la hizo beats. Wakati fulani unatumiwa na madansa kwenye sherehe za arusi na nyingnezo
  9. Mpenzi mtazamaji

    JamiiForums Tanzania Biblia na biashara ya utumwa wa mtu mweusi Marekani

    Mkuu, kwa sasa sitaki kuingia moja kwa moja kwenye hoja yako, lakini naomba nikurekebisha juu ya namna Biblia ilivyoandikwa. Biblia imeandikwa na Mungu kupitia waandishi wanadamu kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. Ndio maana ya kusema Biblia ni Neno la Mungu. Ndio kusema, mwandishi wa Biblia (primary...
Back
Top Bottom