Habari ndugu, naomba niende kwenye mada.
Mnamo mwezi wa pili tuliamua kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango mimi na mwenza wangu, ambapo aliwekewa kijiti kimoja, lakini ilipofikia mwezi wa tano akawa analalamika sana kuhusu kijiti kumkera, hivyo mwezi wa Saba mwanzoni tukakitoa na mnamo tarehe 29/07 akaingia P.
SINTOFAHAMU ILIPO.
baada ya kuingia P, tulisex tarehe 18/08 ambayo ilikua ni siku ya 21 tangu aingie P, Leo ni siku ya 32 tangu atoke P, lakini Bado hajapata siku zake, na Kuna dalili za uchovu anazipata na kudai labda ni mimba, tumefanya pregnant test mara mbili na unasoma Negative kama ilivyo hapo chin.
Naomba msaada wa utatuzi wa hili kwa mwenye kufahamu