:shut-mouth:Geeeeeeeeeeeeeesi jamani hatutaki fujo wana mtwara..serikali sikia maombi yetu mjenge huku hizo plants tufaidike nasi khaaaaaa...barabara yenyewe inasuasua na mkiweka bomba si ndo mtaona hatuna umuhimu kabisa wa kuletewa maendeleo.:target::target:
:confused2:daaaa ni bora kuziba ufa kuliko kujenga ukuta..funguka hapo juu ya hiyo tofauti ..vinginevyo utapata mateso bila chuki maisha yako yote..!:confused2:
THREAD INA NGUVU ZA GIZA NDANI YAKE..SI JAMBO JEMA HILO..MUNGU AWASAIDIE WADADA WASITEKWE NA STYLE HII YA KUTOKA KUZIMU MOJA KWA MOJA.:confused::nimekataa
kwenye ndoa hakuna kuvumiliana kuna kufurahiana..so jua mapema uchague kusuka au kunyoa....usiingie eti nitavumilia itakula kwako mazima....:confused2:
Ikitokea nafasi ingine ya kazi tofauti na fani yako piga pia usikae ukasema huna kazi piga kazi zingine huku unafuatilia kwa karibu kazi ya fani uipendayo..marufuku kukata tamaaaaa.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:glasses-nerdy:
mi naona sio kusoma ni umamluki tuuu..wengine hawajui wanchokifanya na hata kama ukimuuliza kwanini ulichoma moto kanisa hana sababu kidini/kidunia..itafuteni hekima kupambanua vitu muwafundishe watu mafundisho sahihi..ebooo.
mungu ibariki afrika..................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:biggrin::biggrin:ngoja niiimbe wimbo huu kidogo nipunguze machungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.