Askofu Kulola namchukulia kama mtumishi wa Mungu wa kweli. Ameanza kuhubiri injili miaka mingi sana, mimi binafsi nimeanza kumsikia kuanzia miaka ya 1980. Angekuwa na tamaa ya pesa, angekufa tajiri sana kuliko hawa tunaowaona.
Mtumishi Kulola, umepigana vita vema na umeshinda. Mungu akurehemu!
Nani kakuambia Assad ametumia gesi dhidi ya wananchi wake? UN wanafanya uchunguzi na viashiria ni kwamba hao rebels ndio wametumia hizo silaha za sumu. Ebu tuelimike tuache kuwa watumwa wa Magharibi. Wewe unaona ni haki Marekani na Uingereza kuwafadhiri waasi? Hivi Tanzania tumeenda DR Congo...
Tatizo unalinganisha nchi moja na kundi la nchi mbalimbali. Russia ni nchi moja, hao western unaosema ni UK, USA na France; sasa unamuingiza na Israel. Naamini Russia akiungana na Iran na China tu, hao Western lazima waamshe mikono juu. Hakuna vita Marekani anapigana peke yake hata kama ni ka...
TZS 51 billion?? Someone to give me the breakdown.
Hii ya PW kuwa bailed sikubaliani kabisa. Hiyo bail out ni njia tu ya ulaji, Pesa hizo ni nyingi sana.
I am not sure if this news was once aired!
President Paul Kagame shocked by Oxford Demonstrators who threw Manure and Eggs at himMay 19, 2013 by Rwema IT Webmaster
By: Noble Marara
While attending Rwanda day in London President Kagame stated that those who threw manure and eggs at Oxford...
Duh! Mwaka wa uzi sikuangalia. Lakini kuhusu kiinua mgongo, ninayosema ndio hivyo kwa kadiri ya Employment and Labour Relations Act. Kama unahoja tofauti, nipe kipengele cha kiinua mgomgo kwenye hiyo sheria tujadili.
Tanzania kwenye sekta binafsi kitu kinachoitwa kiinua mgongo ni juu ya mkataba wako na mwajiri. Sheria ya kazi haina kipengele cha kiinua mgongo, hivyo ukifukuzwa au kuachishwa kazi itategemeana na mkataba wako wa kazi unasemaje, kinyume na hapo ni busara tu ya mwajiri wako.
Mikataba mingi ya...
Watu bwana! Bwana Cheyo alisema atawajaza watu mapesa watu wakauliza atawezaje? Leo jamaa anagawana mali zake na maskini watu wanatia shaka.
Ebu chukueni hiyo pesa. Wangapi wana ela za ufisadi hata shilingi yao haisaidii jamii? Ninachomsifu huyu bwana hata kama simjui ni tenda wema, nenda...
Sasa kamanda anajipiga picha yeye baada ya kutuonyesha mhusika!! Ama kweli dhambi ni uharifu mdogo, angekuwa muiba kuku, aha picha zingejaa ukulasa mzima.
Kwani Mugabe hana watendaji? Israel inatawaliwa na Rais mwenye miaka 90 Simon Peres, amekuwa serikalini toka ana miaka 29, mbona Uingereza na Marekani kimya na ni nchi washirika wa Israel?
Queen ni mtu mkubwa kwa waingereza useme tu dunia imepumbazwa. Leo hii Scotland wanataka kujitenga kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.