Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Russia and Iran Warn Against Intervention in Syria

Status
Not open for further replies.
WATAKAPOPIGANA DUNIA ITAPUMUAJE?<ILLUSTR> DEMOCRACY/over/DICTATORSHIP <wars>
 
siku zote silaha za russia huwa zinashindwa kwa silaha za marekeni na magaribi. hicho ni kitu ambacho huwa kinaikera sana russia, hivyo wala msihangaike, russia haiwezi kushindana na west hata siku moja. especially hapo ulipogusa kuhusiana na israel.
 
China sijasikia yupo upande gani hadi sasa wakuu??

Mkuu Mrusi na Mchina hawatupani hawa watu, lazima China ata-support tu swahiba wake.Wana ndoa ya kudumu hawa watu toka enzi za kijamaa miaka hiyo.
 
Wenye masilaha yao wameyalimbikiza toka enzi za cold-war na sasa zinakaribia ku-expire, gharama za kuzihifadhi zinaongezeka, teknolojia yake inapitwa na wakati na idadi ya watu duniani imeongezeka sana. Hizi ni sababu tosha kwa mumiani hao kuchokoza nchi zilizo mbali na mipaka yao ili waka-deploy hayo masilaha yao. After all masilaha hayo yametengenezwa kwa ajili ya kuangamiza watu siyo wanyama.
 
Mkuu hata mimi na hisi hivyo hivyo lakini hii inaweza ikaleta ukombozi/Uhuru wa kweli kwa nchi za Africa.
Si ukombozi kwa Africa tu, yaweza kupunguza ubeberu wa haya majambazi. Dunia inahitaji sana kiongozi wa aina ya Putin.
 
Thank you president Putin. If (only if) you will do this, you will be stopping the western imperialist war-mongers from gassing more civilians and blaming others. You will be making this a world a better place.

Why don't He be aggressive the more and Bomb them for gassing civilians out there.
 
I see, hii habari mbaya sana kwangu.
Urusi ikiingia vitani? Chinekeeee
 
Russia hawaiwezi america tu peke yake then ukombaini na ulaya ,are you insane you people?vita kuu yapili ya dunia ujerumani peke yake iliichimbisha iwe ulaya yote?
 
siku zote silaha za russia huwa zinashindwa kwa silaha za marekeni na magaribi. hicho ni kitu ambacho huwa kinaikera sana russia, hivyo wala msihangaike, russia haiwezi kushindana na west hata siku moja. especially hapo ulipogusa kuhusiana na israel.

Tatizo unalinganisha nchi moja na kundi la nchi mbalimbali. Russia ni nchi moja, hao western unaosema ni UK, USA na France; sasa unamuingiza na Israel. Naamini Russia akiungana na Iran na China tu, hao Western lazima waamshe mikono juu. Hakuna vita Marekani anapigana peke yake hata kama ni ka nchi kadogo. Ebu angalia Libya, walienda wote kwa mpigo, USA, France na UK.

Ebu tuwape support Russia ili wamalize huu uonevu duniani. Yaani Marekani au Uingereza asipompenda kiongozi fulani basi wanafadhili wapinzani ili kupindua serikali yake. Kwa nini?
 
Unajua kuna vitu vinaandikwa hapa vinauzunisha kweli. Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa Assad kutumia gesi dhidi ya wananchi wake? Na unataka Russia aendelee kumtetea huyu mtu. Fikiria, kama ingekuwa ndio ndugu zako wale, would you still support Assad? Chuki zetu dhidi ya Marekani zisitufanye tushindwe kuona uovu.
 
Hii sio vita ya kushabikia hata kidogo.Uchumi wa nchi yetu wote umekabidhiwa kwa wageni.Vita itakapoanza na budget yetu hii ya kutegemea wahisani,maisha yatakua magumu sana.Kumbuka saa hizi nna Imani hata Akiba yetu yote imekwisha.Hawa wakubwa hela zao zote watazielekeza kwenye Vita.
It's high time tuchague viongozi wanaoona mbali,ikiwemo suala la serikali kuwa na fedha ya akiba ya kutosha,na pia kuhakikisha tuna export zaidi.
 
Russia hawaiwezi america tu peke yake then ukombaini na ulaya ,are you insane you people?vita kuu yapili ya dunia ujerumani peke yake iliichimbisha iwe ulaya yote?
Russia na marekani kuwa kwenye direct military confrotational maana yake ndo mwisho wa dunia.kuna kitu wanaita MAD(Mutual Assured Destruction),hiki google ila kwa ufupi ni kuwa endapo wanapambana kijeshi hakuna kitu kitabaki salama kati yao,ndo maana wanaepuka kabisa hali hiyo na kutumia proxy.

Russia wako na balistic missile ambazo zina warhead kama 10 pamoja na decoy juu makombora kama SATAN ICBM ambazo airdefence ya amerika kama Patriot PAC-3,THAAD,AEGIES etc haziwezi zuia.
America nao wako na fifth generation warplane kama F22 JOINTSTRIKE ,B1-steathbomber,pamoja na makombora ya MINUTEMAN,ambayo si mchezo ingawa mrussia anatambia airdefence system zake kama S-300,S-400.
Pia hizi nchi ziko na advantage ya secondstrike,kwamaana kwamba iwapo mfano russia au marekani ikateketezwa na kuharibia uwezo wa kucounter attack,basi ziko submarine za mrussia karibu na pwani ya marekani zikiwa ni nuclear sub zenye uwezo wa kulaunch makombora kupiga ndani ya amerika(SLBM)na hivyohivyo marekani wako na sub karibu na russia kwa tukio kama hilo.
America wao wako na advantage ya uwezo mkubwa wa logistic,kwamaana uwezo wao wa kuproject force ni mkubwa sababu ina aircraftcarrier 11,wakati russia wanayo moja,but who need many aircraft carrier when it come to a military showdown between america and russia while Intercontinental ballistic missile with nuclear warhead can do the job.
 
Kinacho hitajika kwa sasa duniani ni mfumo usio kandamiza upande mmoja.Tunatarajia maamuzi haya magumu ya Rais Putin yatatekelezwa
ili angalau kubalance nguvu na kucheck kile ambacho Nchi za magharibi wanautuhumu utawala wa Syria.

Migongano hii ya kimaslahi itaifanya dunia kuwa si mahala pazuri pa kuishi na mbaya zaidi inaweza kupelekea vita ya tatu ya dunia.

Kama democrasia inashindikana Syria hakuna haja ya kuilazimisha
kwani hakuna mtawala ambaye atatawala milele.
 
Unajua kuna vitu vinaandikwa hapa vinauzunisha kweli. Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa Assad kutumia gesi dhidi ya wananchi wake? Na unataka Russia aendelee kumtetea huyu mtu. Fikiria, kama ingekuwa ndio ndugu zako wale, would you still support Assad? Chuki zetu dhidi ya Marekani zisitufanye tushindwe kuona uovu.

Nani kakuambia Assad ametumia gesi dhidi ya wananchi wake? UN wanafanya uchunguzi na viashiria ni kwamba hao rebels ndio wametumia hizo silaha za sumu. Ebu tuelimike tuache kuwa watumwa wa Magharibi. Wewe unaona ni haki Marekani na Uingereza kuwafadhiri waasi? Hivi Tanzania tumeenda DR Congo, Sudan kufanya nini? Si kutetea serikali halali ya wananchi dhidi ya waasi?

Hivi leo hii Tanzania kikiibuka kikundi cha kiasi halafu nje za nje zikakifadhili ili kupindua serikali wewe unaona hiyo ni sawa? Labda nikuambie tu, Wamarekani na Waingereza wanapinga kwa nguvu zote nchi zao kupeleka majeshi yao Syria. Angalia vyanzo vyako vya habari vema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom