Mr. Samson
Member
- Feb 16, 2013
- 38
- 13
Mimi nadhani tumpe muda, "Time will tell - 'Who, What, Which, How, and Why"
Mwambieni basi apite na hapa posta kituo cha daladala manake nna buku tu ya nauli na home nshawaambia wainjike ugali ntapitia dagaa mchele sasa ramani haijasoma at least mmwaga mpunga akipita mitaa hii atasave mylife naombeni basi mkimuona popote mwambieni tunamsubiri kwa hamu hapa
Tanzania haihishiwi maajabu khaaaaa!!!!
Kumbe "Mombasa" ndio jina jipya la &*#*#@&"':-"*?????
Na wewe hukuambulia japo kidogo Yericko Nyerere?Haahaa nimemuona mamra mbili Kigamboni,
Jamaa ana asili ya kipemba hivi, aisee anamwaga mpunga sio mchezo, mjimwema stendi pale alifunga njia kama nusu saa hivi
Chanzo cha fedha ni muhimu kujulikana kwanza kabla hujapokea fedha yake, you can not believe in God existence if you do not believe in existence of Devil , other wise your believe will be in vain because you will not be able to questions your faith, unquestioned faith is not faith at all but an act or pretendence of faith, For those who lead holly books, regardless BIBLE OR QUARAN they know this : that GOD AND DEVIL they both work powerfull and misteriously , strive to get our attentions, they talk to each other almost every time they have to, they fought once and the looser (devil) fall on our mother planet (earth), so people yes huyu mtu anaweza kuwa mtu mwenye roho nzuri, pia anaweza akawa si mtu safi vilevile , pesa yake ikawa iliyomwaga damu, au yenye Nguvu za giza, ukweli haupingiki watu wengi wana shida, they need money to solve those problems, but Government should take major to questions the legitemate of the fund, Na kuhusu police kumpatia escort, hiyo ndio kazi mojawapo ya polisi, kutoa ulizi kwa Raia, hasa yule anayehisi usalama wake upo mashakani au utakuwa mashakani, kuna gharama za huduma hiyo, Unaporudia kutenda tendo baya mara nyingi unalizoea na kuliona ni tendo jema au la kawaida (watanzania wengi hupenda sna kupewa bure tofauti na watu kutoka bara Asia hasa wenye asili ya mongolia hata pesa iliyopotezwa waionapo chini walio wengi haokoti
Yaani ukiwa mtu makini huwezi ukapokea pesa yeyote kama hii.
Lazima ujie chanzo cha hizo pesa na sababu za mgao wa bure.
CHANZO: JAMBO TZ
My take:
Sina shida na huyo mgawa fedha ila nani anawapangia hili lindo hao askari polisi? Jeshi letu la polisi linatakiwa lifanyiwe ukarabati upya.