Meno ya Tembo yakamatwa Uwanja wa ndege Dar...

Meno ya Tembo yakamatwa Uwanja wa ndege Dar...

Tanzania bila kinana na kikwete inawezekana
 
Hii dhana ya kupeleka vijana jeshini ni kuchochea uzalendo?
Eti mkuu ?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ilikuwa MOJA ya Sababu ya Kutetea UZALENDO na USAWA kati ya VIJANA na Wananchi wa aina Mbalimbali; kutokana na huu mwenendo Ukiwauliza WAKENYA 20% watasema wao ni Wakenya kabla ya kusema oh Mimi ni Mkikuyu or whatever

Lakini kwa Watanzania especially Watanganyika ilikuwa 80% kwahiyo hii ilikuwa moja ya sababu ya kuondoa ETHNICITY nchini

Lakini sasa hivi SHULE ZETU TUMEZITENGA tumezifanya kama za KENYA elimu tumeibadilisha Sasa hivi Sijui Mpaka Uwe Darasa la Sita ndio unasoma Jiographia ya Tanzania wakati ule ilikuwa Darasa la Nne

Kuna sababu nyingi but this one is MAJOR ndio Maana wanafikiria Jinsi gani ya kulirudisha lakini hawatapata haswa wanaotakiwa sababu wanasoma NJE Different Systems of EDUCATION hawaijui NCHI YAO

Sahani kama wewe haukupitia JKT haujui MATABAKA; Jaribu kuangalia NCHI ya JIRANI YETU ya KENYA na Watu wao hata ukizuru nchi za NJE JUMUIA ZAO na za KITANZANIA utashangaa...

ZA KITANZANIA zinaflourish with Different colors and class together

Za KENYA utasikia Marumanga na kila siku ni kwa vikundi vikundi wakikuyu huku na wengine kule na sasa hapo kama ndio hauna Documents za kuishi hiyo nchi ndio wa kwanza KUSEMANA kwa MAPOLISI au wanaita ICE kuwarudisha makwenu
 
Mbowe alisema bungeni kama kuna viwanda vya kuandaa pembe za ndovu wakampuuza Haya kiko wapi.
 
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.

Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
mkuu kwanini kinana naye asitaje wanao mpa mizigo ya pembe za ndovu anazo wasafirishia marakwa mara kwenda china, hong kong, vietnam na kwengine?
 
mkuu kwanini kinana naye asitaje wanao mpa mizigo ya pembe za ndovu anazo wasafirishia marakwa mara kwenda china, hong kong, vietnam na kwengine?



Mkuu Ninaweza
Ukimtaja Kinana ---- wake zake humu wakali kweli akina Hamy-D utabishana nao hadi usiku wa manane

Raha yao raslimali za taifa zichukuliwe hivyo ndivyo wanapenda halafu wanasema uzalendo,ina maana huo uzalendo uko kwa wapinzani tu lakini ccm uzalendo hamna wanaiba raslimali wanamaliza

Huyu Hamy-D ameandika thread humu akishangilia Kinana kumfungulia mashtaka simply to alimsema kwamba ndie anamaliza Tembo wa Tanzania

Hii tabia ya kufumbana midomo ni common sana kwenye chama hiki,majina ya wauza unga wameyakalia,majina ya majangili wanayo hawataki kuyatoa na wanakataa kuyatoa kwa nini kama sio wanahusika au wanawaficha wahusika ambao ni wakubwa humo?

Watoto wetu na wajukuu hawtawaona tembo labda kwenye picha
 
Wahalifu bwanaa; yaani walipoona macho yote yameelekezwa kwenye madawa ya kulevya wakaona ni nafasi poa kupitisha mengine??!!
 
Hakuna biashara ya mtu mmoka mahali popote duniani. Huu ni mtandao ambao mizizi take iko kwenye dola.
Hapa hatuna viongozi wenye uchungu na nchi hii, wote wameoza.
 
Kweli majanga......yaani hata hatupumui? Kila kukicha limezuka jipya. Hata ivyo Mwakyembe aliagiza ataekamatwa apigwe picha na zisambazwe mtandaoni. Hii mbona muhusika haonekani? Au ni kwenye ishu za sembe tu?
 
Sasa kamanda anajipiga picha yeye baada ya kutuonyesha mhusika!! Ama kweli dhambi ni uharifu mdogo, angekuwa muiba kuku, aha picha zingejaa ukulasa mzima.
 
Tanzania imeoza inatoa harufu.
Ze Kinana atusaidie kwenye hili..

Mkuu ni vizuri yamekamatwa na usalama wa nchi yetu, kuliko yangekamatiwa nje ya nchi, manake tungejiuliza kuwa yalipitaje mpaka yanakamatiwa nje?
Kiukweli tuna kila sababu ya kumpongeza kamanda Ketto kwa kazi nzuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Saturday, August 17, 2013

Menoyatembo1Copy.JPG


Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno ya Tembo yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari kwa kusafirishwa.
​


attachment.php

​
Kamanda Katto akionesha meno ya tembo yaliyotengenezwa kama vijiti.


​
Jana, Agosti 16, 2013 majira ya saa 10:46 jioni Polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4
​


Huwa wanajuaje thamani yake? Hili swali huwa sipati jibu. Ni sawa na wale Askari waliosema bei ya sembe imepanda na kutaja kiasi.

Tanzania inanuka, hiki kinachokamatwa ni sehemu tu ya vingi vinavyopita. Na hii ni airport. Vipi kuhusu bandari, nchi kavu. Kuna kipindi nilikuwa somanga funga, Lindi, wananchi walishuhudia meli kubwa zikibeba mbao, meli kubwa za nje zikivua katika. Kila deal mbovu bongo.

Nafikiri kuna haja ya kuwahamisha wafanyakazi wote aw JKNIA kuwapeleka mikoani, na aw mikoani kuletwa hapo kama walivyofanya Tanesco.

Na pale inapobainika mfanyakazi ameshiriki kwenye hizi deal, kesi yake iendeshwe ndani ya wiki mbili, na ale mvua Kama thelasini ili awe mfano kwa wengine. Vinginevyo watu hawatobadilika.
 
Mwenyekiti Mbowe alisema kuna viwanda vya kusaga meno ya tembo magamba yakang'aka leo hii mambo yako hadharani....
 
duuh Mpaka MWAKYEMBE apige mkwara ndo mfanye kazi?.. MWAKYEMBE FOR PRESIDENT 2015
 
Hamy d, anabidii, unapata nn mwenzetu?
 
Huu ni uthibitisho na ushadidi tosha kwamba yale aliyosema kiongozi wa kambi ya upinzani kwamba Tanzania kuna kiwanda cha kusaga meno ya tembo,na mmiliki wake anafamika....



Nakumbuka siku hiyo alipodwa sana na baadhi ya viongozi wa upande wa pili,

tena wakaenda mbali wakasema akamatwe Mbowe atakuwa anajua kiwanda kilipo, cha kusaga meno ya tembo

kwakweli Mungu ni mwema siku zote ,


TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NAYE, XXXXXX
 

Saturday, August 17, 2013

Menoyatembo1Copy.JPG


Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno ya Tembo yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari kwa kusafirishwa.
​


attachment.php

​
Kamanda Katto akionesha meno ya tembo yaliyotengenezwa kama vijiti.


​
Jana, Agosti 16, 2013 majira ya saa 10:46 jioni Polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni 18.4
​

hawa wadudu ili kuwanusuru waondolewe tu hizo pembe la sivyo wataisha
 
Back
Top Bottom