Mkuu mabadiliko yanaanza na wewe hivi ni mbuge gani Kati ya CCM na UKAWA wanaotafuta umaarufu?Nadhani na wewe akili zako ni za Bashite hoja za UKAWA na CCM zipi zina mashiko?
Huwa sipendi kucrash hoja ya mtu,ila naomba nikucrash kwa 100% naomba unijibu maswali yangu yafuatayo then tuendelee;
1.Kipindi Cha utawala wa hayati Mwl Nyerere watanzania tulikuwa wangapi?
2.Kwanini Mwl Nyerere alimua mwenyewe 1992 kukubali mfumo wa vyama vingi?
Kuna watu wana uwezo sana ndani ya CHADEMA na machachari sana na wenye mvuto ambao nafasi ya katibu Mkuu wangeimudu ila udhalimu,ubabe wa maamuzi na sababu zake binafsi Mwenyekiti (Freeman)aliamua kutishika na usomi wa Mashinji sababu yeye ni Bashite,na akasahau vijana kama Ole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.