Dar: Polisi waua watu wawili wakamatwa, wamekamata risasi zaidi ya 162

Sasa Mtu anaetumikia Kifungo cha Miaka 30 inakuaje anakamatwa kwa Ujambazi Tena au alikuwa Likizo ya kufungwa?

All in all Hongera sana Kamanda Mambo sasa na Team yako kwa kazi nzuri

Nimeshakwambia kwa haya maelezo kazi ya ukachero imenishinda....
 
polisi mnavyopenda kupiga picha ilikuwaje kwenye matukio yote hayo mliosema hakuna hata kapicha.. au maeneo yote hayo yaliofanyikia matukio hayo hapakuwa na raia ? Dooh salaalee ama kweli .HONGERENI KWA KAZI NZURI.
 
polisi mnavyopenda kupiga picha ilikuwaje kwenye matukio yote hayo mliosema hakuna hata kapicha.. au maeneo yote hayo yaliofanyikia matukio hayo hapakuwa na raia ?<br /> Dooh salaalee ama kweli <br /> HONGERENI KWA KAZI NZURI.
Zile swaga za Kova alikuwa anazunguka na Helcopter hewani
Nakumbuka Siku walivyoangushwa na Helcopter hewani walikuwa
1) Makamu wa Rais wa Wakat huo
2) Waziri wa Ujenzi wa Wakati huo
3) Kamanda wa Kanda Maalum wa wakati huo

Kuna Mmoja alizimia baada ya Mdondoko huo staki kumtaja kwa sababu za Kiusalama
 
Ni mazoea lakini si sahihi kusema " polisi wamefanikiwa kuua ......" Hii inamaanisha polisi walikuwa na kusudio la kuuwa
Sheria haifuatwi kabisaaa!
Watu wanafanikiwa kuua! Inakuwa sifa.
 
polisi mnavyopenda kupiga picha ilikuwaje kwenye matukio yote hayo mliosema hakuna hata kapicha.. au maeneo yote hayo yaliofanyikia matukio hayo hapakuwa na raia ?
Dooh salaalee ama kweli
HONGERENI KWA KAZI NZURI.
Yaani risasi zirindime wala asitokee raia aliyesikia?
 
Jumla ya makosa yote yaliyokamatwa ni 14,176.
Pesa za tozo zilizopatikana ni Tsh. 424,620,000/

Hiki nacho kimekuwa chanzo cha mapato cha serikalo! Mazombie yalifikri kuongoza genge ni mchezo!!!
 
Kazi ya upelelezi ngumu sana au maelezo yamepungua? Wahalifu walikua kwenye gari, wakasimamishwa wakaanza kurushiana risasi, baadhi wakajeruhiwa na wamefariki wakiwa njiani kupelekwa kwenye matibabu.

Namba za gari hazijajulikana....
Na mwingine akakimbia na gari sijui walishuka hao wengine?
 
Back
Top Bottom