Ole Sendeka jiandae kutueleza wapi yalipo madini na mchanga wa Tanzanite Mererani

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,995
2,000
Naikumbuka kashfa ya mchanga iliyowahi kumkumba huyu Mbunge mstaafu wa Mererani CCM Ole Sendeka juu ya mchanga wa Madini ya Tanzanite , hilo Moja.

Mosi: Maisha ya watu wa Mererani ni ya taabu na dhiki ya hali ya juu , wakati wazungu wanayamaliza madini yote yeye alikuwa shuhuda bila ya kusema lolote.

Sijakusikia mda mrefu , huwenda umejibana ili mkuu asisikie kelele zako.Ila nadhani huu ni muda wako muafaka wa kuzitia nywele maji,kiwembe kinakuja.
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,647
2,000
Ole Sendeka sijamsikia kitambo sana aisee! Tangu ile siku aliyokasirika kwanini CC ya CCM haikumchagua Lowassa kwa ajili ya Uchaguzi...kule Dodoma..

Yuko wapi huyu baba Yangu.
 
Sonofsoil

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
1,932
2,000
Tanzanie haina mchanga siyo dhahabu
Naikumbuka kashfa ya mchanga iliyowahi kumkumba huyu Mbunge mstaafu wa Mererani CCM Ole Sendeka juu ya mchanga 4 Madini ya Tanzanite , hilo Moja.

Mosi: Maisha ya watu wa Mererani ni ya taabu na dhiki ya hali ya juu , wakati wazungu wanayamaliza madini yote yeye alikuwa shuhuda bila ya kusema lolote.

Sijakusikia mda mrefu , huwenda umejibana ili mkuu asisikie kelele zako.Ila nadhani huu ni muda wako muafaka wa kuzitia nywele maji,kiwembe kinakuja.
 
The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,292
2,000
Ole Sendeka sijamsikia kitambo sana aisee! Tangu ile siku aliyokasirika kwanini CC ya CCM haikumchagua Lowassa kwa ajili ya Uchaguzi...kule Dodoma..

Yuko wapi huyu baba Yangu.
Kuna cheo alipewa ndani ya chama aliposhindwa uchaguzi.. baada ya Magu kushikilia kiti sijamshikia tena itakuwa kile cheo hakipo kwenye katiba ya ccm
 
oblac

Senior Member
Dec 25, 2016
166
250
Kuna cheo alipewa ndani ya chama aliposhindwa uchaguzi.. baada ya Magu kushikilia kiti sijamshikia tena itakuwa kile cheo hakipo kwenye katiba ya ccm
Achen hizoooo..
Olesendeka n mwanachama mtiifu wa ccm.. Kwasasa n mkuu wa mkoa
 
oblac

Senior Member
Dec 25, 2016
166
250
Ole Sendeka sijamsikia kitambo sana aisee! Tangu ile siku aliyokasirika kwanini CC ya CCM haikumchagua Lowassa kwa ajili ya Uchaguzi...kule Dodoma..

Yuko wapi huyu baba Yangu.
Acha hizo bhanaa..
Ashawahi kumdiss had lowassa alipoteuliwa kuwa katibu wa uenez ccm mwaka jana tu hapa kabla Ya polepole.. Kwasasa n mkuu wa mkoa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom