Wabunge wa upinzani wanapenda sana umaarufu kuliko kuwatumikia waliowachagua

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,986
45,897
Hili ni jambo la kusikitisha sana na sio la kulichekea hata kidogo.

Kama Taifa tunaukilema wa kuwa na upinzani usio na malengo ya kulikuza Taifa kupitia changamoto zao za wazi na chanya kwa serikali yetu.

Napenda kusema kwamba Upinzani tulionao ni ule ambao wahusika wapo kwaajili ya maslahi binafsi na sio kwa ajili ya wale walio wachagua.

Maslahi ambayo wanayapigania sana wabunge wa upinzani ni pamoja na umaarufu wao , gusa jambo jingine lakini usiguse jambo ambalo litaathiri umaarufu wake moja kwa moja.

Hali hii imekua mbaya sana kiasi kwamba imehamia mpaka kwenye matukio yenye nature ya huzuni. Mfano mzuri hivi karibuni Mbunge wa Arusha mjini alipotoashutuma za wazi wazi kisa tu hakupewa nafasi ya kuonekana mbele ya watu wa Arusha. Kumbuka ule ulikuwa msiba wa kitaifa lakini wenzetu wao walikuwa wanataka kuonekana tu.

Tabia hii ya kupenda kuonekana tu na kupalilia umaarufu wao ilianza taratibu pale Bunge live lilipopigwa pini kutokana na mzigo wa gharama uliokuwepo, lengo jema la kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima na kuyapeleka kule kunakostahili, iligeuzwa na kuwa kosa kubwa kwani ile nafasi ya kuonekana ilikuwa haipo tena.

Marufuku ya Siasa za majukwaani zisizo na mpango nayo ukawa mwiba mwingine kwa wabunge wa Upinzani, kwani waliozea kuzunguka nchi nzima na kupoteza muda wa nguvu kazi za Taifa, at the expense ya kupalilia umaarufu wao.

Jambo hili ni baya sana kwa demokrasia ya nchi na maendeleo kama Taifa kwani tuna watu wanaotaka kuonekana na kupata umaarufu badala ya kuangalia hali za hao waliowapa nafasi za umaarufu.

Wabunge wa upinzani inabidi mbadilike bila hivyo mtazidi kupukutisha majimbo yenu 2020, kwani wananchi wanaendelea kuwachoka kwa ahadi zenu hewa ambazo hazionekani na badala yake nyie tu ndio mnaoendelea kuwa maarufu kupitia mogongo yao na kura zao.
 
Hawa wabunge wote wa upande A na B hakuna jipya wanalofanya zaidi ya kupigania matumbo yao.
 
Ni wauza sura wazuri sana,
 
Na wewe badilika wacha ubozi
 
Tatizo chama tawala mna hofu sana na hata mkiulizwa mnachoogopa ni nin hamjui ila mnaishi kwa taharuki tu....Ebu jaribuni ku-relax na mfuate utaratibu maana mwisho wa siku wananchi ndiyo Ma-Judge na ndiyo wenye nchi pia...
 
Nimejitahidi kutafuta hoja yenye mashiko katika andiko lako nichogundua ni UJINGA MTUPU
ni kawaida kwa mjinga kuona ujinga; haiwezekani mjinga akaona ujanja popote. bila shaka wewe ni mjinga. na hapa umethibitisha ujinga wako.
 
Ni wauza sura wazuri sana,
unaweza kumnyima mbunge wa upinzani nafasi ya kupeleka maendeleo jimboni kwake asipatwe na jazba ila ukimnyima nafasi ya kuuza sura utaona hasira yake anapoificha. Lazima atoe sumu yote kisa kanyimwa kuuza sura.
 
Hili ni jambo la kusikitisha sana na sio la kulichekea hata kidogo.

Kama Taifa tunaukilema wa kuwa na upinzani usio na malengo ya kulikuza Taifa kupitia changamoto zao za wazi na chanya kwa serikali yetu.

Napenda kusema kwamba Upinzani tulionao ni ule ambao wahusika wapo kwaajili ya maslahi binafsi na sio kwa ajili ya wale walio wachagua.

Maslahi ambayo wanayapigania sana wabunge wa upinzani ni pamoja na umaarufu wao , gusa jambo jingine lakini usiguse jambo ambalo litaathiri umaarufu wake moja kwa moja.

Hali hii imekua mbaya sana kiasi kwamba imehamia mpaka kwenye matukio yenye nature ya huzuni. Mfano mzuri hivi karibuni Mbunge wa Arusha mjini alipotoashutuma za wazi wazi kisa tu hakupewa nafasi ya kuonekana mbele ya watu wa Arusha. Kumbuka ule ulikuwa msiba wa kitaifa lakini wenzetu wao walikuwa wanataka kuonekana tu.

Tabia hii ya kupenda kuonekana tu na kupalilia umaarufu wao ilianza taratibu pale Bunge live lilipopigwa pini kutokana na mzigo wa gharama uliokuwepo, lengo jema la kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima na kuyapeleka kule kunakostahili, iligeuzwa na kuwa kosa kubwa kwani ile nafasi ya kuonekana ilikuwa haipo tena.

Marufuku ya Siasa za majukwaani zisizo na mpango nayo ukawa mwiba mwingine kwa wabunge wa Upinzani, kwani waliozea kuzunguka nchi nzima na kupoteza muda wa nguvu kazi za Taifa, at the expense ya kupalilia umaarufu wao.

Jambo hili ni baya sana kwa demokrasia ya nchi na maendeleo kama Taifa kwani tuna watu wanaotaka kuonekana na kupata umaarufu badala ya kuangalia hali za hao waliowapa nafasi za umaarufu.

Wabunge wa upinzani inabidi mbadilike bila hivyo mtazidi kupukutisha majimbo yenu 2020, kwani wananchi wanaendelea kuwachoka kwa ahadi zenu hewa ambazo hazionekani na badala yake nyie tu ndio mnaoendelea kuwa maarufu kupitia mogongo yao na kura zao.
Umeshiba rambi rambi unakuja kutema pumba humu
 
Wabunge wa upinzani ni wachache lakinj wanaitoa jasho CCM, hamlali. Wabunge wa CCM hawana uhuru wa maoni, kazi ninkufuata maelekezo ya chama hata kama hayana maslahi kwa wananchi. Majuzi hapa wameitwa na mkulu Dodoma wakafokewa kama watoto wadogo.
Kwa kifupi Bunge lenye wabunge wengi wa CCM haona meno ya kuisimamia serikali.
 
Mkuu mabadiliko yanaanza na wewe hivi ni mbuge gani Kati ya CCM na UKAWA wanaotafuta umaarufu?Nadhani na wewe akili zako ni za Bashite hoja za UKAWA na CCM zipi zina mashiko?
 
Sisi wa BunjuB tunaye Mheshimwa @halimamdee tumemlalamikia kinoma kuhusu wachuuzi kukimbia soko jipya na kurudi barabarani kuendeleza kuweka uchafu, magenge na fujo, wapi! Tumemlalamikia soko jipya halina matundu ya choo ya kutosha, kimya! Tumelalamika soko jipya halina umeme, na maji liko bomba moja, halitoshelezi, kimya! Tumelalamika kuna ufisadi soko jipya bunjub hasa katika ujenzi wake, kimya! Kukicha anaishia kutukanana na Spika wetu wa bunge?! Wapi na wapi..Twakubaliana nawe, wao KIKI zaidi kuliko kusaidia jamii...
 
Wabunge wa CCM hawaoni woga wala aibu kupotea rushwa ya milioni 10 kila mmoja ili kupitisha muswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini.

Wametishwa na asiyejaribiwa na wametishika. Badala ya kuwatetea Watanzania waliowachagua wao kama wawakilishi wa kuzungumzia kero mbali mbali za Watanzania sasa wameamua kuwa watetezi wa Serikali!

Mazuzu katika ubora wao wa kuweka matumbo yao mbele na kusahau kabisa maslahi ya wale waliowapeleka bungeni.

Hili ni jambo la kusikitisha sana na sio la kulichekea hata kidogo.

Kama Taifa tunaukilema wa kuwa na upinzani usio na malengo ya kulikuza Taifa kupitia changamoto zao za wazi na chanya kwa serikali yetu.

Napenda kusema kwamba Upinzani tulionao ni ule ambao wahusika wapo kwaajili ya maslahi binafsi na sio kwa ajili ya wale walio wachagua.

Maslahi ambayo wanayapigania sana wabunge wa upinzani ni pamoja na umaarufu wao , gusa jambo jingine lakini usiguse jambo ambalo litaathiri umaarufu wake moja kwa moja.

Hali hii imekua mbaya sana kiasi kwamba imehamia mpaka kwenye matukio yenye nature ya huzuni. Mfano mzuri hivi karibuni Mbunge wa Arusha mjini alipotoashutuma za wazi wazi kisa tu hakupewa nafasi ya kuonekana mbele ya watu wa Arusha. Kumbuka ule ulikuwa msiba wa kitaifa lakini wenzetu wao walikuwa wanataka kuonekana tu.

Tabia hii ya kupenda kuonekana tu na kupalilia umaarufu wao ilianza taratibu pale Bunge live lilipopigwa pini kutokana na mzigo wa gharama uliokuwepo, lengo jema la kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima na kuyapeleka kule kunakostahili, iligeuzwa na kuwa kosa kubwa kwani ile nafasi ya kuonekana ilikuwa haipo tena.

Marufuku ya Siasa za majukwaani zisizo na mpango nayo ukawa mwiba mwingine kwa wabunge wa Upinzani, kwani waliozea kuzunguka nchi nzima na kupoteza muda wa nguvu kazi za Taifa, at the expense ya kupalilia umaarufu wao.

Jambo hili ni baya sana kwa demokrasia ya nchi na maendeleo kama Taifa kwani tuna watu wanaotaka kuonekana na kupata umaarufu badala ya kuangalia hali za hao waliowapa nafasi za umaarufu.

Wabunge wa upinzani inabidi mbadilike bila hivyo mtazidi kupukutisha majimbo yenu 2020, kwani wananchi wanaendelea kuwachoka kwa ahadi zenu hewa ambazo hazionekani na badala yake nyie tu ndio mnaoendelea kuwa maarufu kupitia mogongo yao na kura zao.
 
Hili ni jambo la kusikitisha sana na sio la kulichekea hata kidogo.

Kama Taifa tunaukilema wa kuwa na upinzani usio na malengo ya kulikuza Taifa kupitia changamoto zao za wazi na chanya kwa serikali yetu.

Napenda kusema kwamba Upinzani tulionao ni ule ambao wahusika wapo kwaajili ya maslahi binafsi na sio kwa ajili ya wale walio wachagua.

Maslahi ambayo wanayapigania sana wabunge wa upinzani ni pamoja na umaarufu wao , gusa jambo jingine lakini usiguse jambo ambalo litaathiri umaarufu wake moja kwa moja.

Hali hii imekua mbaya sana kiasi kwamba imehamia mpaka kwenye matukio yenye nature ya huzuni. Mfano mzuri hivi karibuni Mbunge wa Arusha mjini alipotoashutuma za wazi wazi kisa tu hakupewa nafasi ya kuonekana mbele ya watu wa Arusha. Kumbuka ule ulikuwa msiba wa kitaifa lakini wenzetu wao walikuwa wanataka kuonekana tu.

Tabia hii ya kupenda kuonekana tu na kupalilia umaarufu wao ilianza taratibu pale Bunge live lilipopigwa pini kutokana na mzigo wa gharama uliokuwepo, lengo jema la kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima na kuyapeleka kule kunakostahili, iligeuzwa na kuwa kosa kubwa kwani ile nafasi ya kuonekana ilikuwa haipo tena.

Marufuku ya Siasa za majukwaani zisizo na mpango nayo ukawa mwiba mwingine kwa wabunge wa Upinzani, kwani waliozea kuzunguka nchi nzima na kupoteza muda wa nguvu kazi za Taifa, at the expense ya kupalilia umaarufu wao.

Jambo hili ni baya sana kwa demokrasia ya nchi na maendeleo kama Taifa kwani tuna watu wanaotaka kuonekana na kupata umaarufu badala ya kuangalia hali za hao waliowapa nafasi za umaarufu.

Wabunge wa upinzani inabidi mbadilike bila hivyo mtazidi kupukutisha majimbo yenu 2020, kwani wananchi wanaendelea kuwachoka kwa ahadi zenu hewa ambazo hazionekani na badala yake nyie tu ndio mnaoendelea kuwa maarufu kupitia mogongo yao na kura zao.
Kibaya zaidi, wakiulizwa juu ya ahadi zao majimboni walizoahidi, wanabaki kuitupia lawama ccm, Wakati wanagombea hawakusema kuwa watailaumu ccm! Kifupi wameprove failure.
 
Back
Top Bottom