kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,425
- 7,211
kuna waropokaji kwa niaba ya chama ameshindwa kuwadhibiti. inafaa ajiuzulu tu. kwa mfano tundu lissu anaropoka kila siku kama chadema na wanachadema wanamshangilia.Katibu mkuu ni kiungo muhimu sana katika ujenzi na ukwa chama kuliko hata Mwenyekiti. Tangu alipoteuliwa hatujaona cheche za katibu mkuu kama alizokuwa nazo Dr. Slaa.
Huyu bwana ni kama ameshindwa kazi maana huu ndio ulikuwa wakati muafaka wa kujenga chama kwa kuwa yule ni kama ameanza kupwaya kutokana na hali ngumu huku mtaani