wakuu ahsanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha na nimefanikiwa kuipata na sasa narudi tena kwenu nikiomba ambaye anaya m pesa au anajua naweza kupata wapi anijuze...!!!!
wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar
wakuu poleni na pilika pilika za za hapa na pale!!
Wakuu naomba msaada ufuatao kutoka kwenu!!
1. Nahitaji kujua chuo mahiri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa dar es salaam!!
2. Gharama ya mafunzo!!
3. Muda wa mafunzo!!
Na hii ni kwa ajili ya kupata uelewa wa kuendesha magari ya kawaida si...
mkuu jamaa yupo sawa kabisa hapo anamaanisha kwa wale wanakatisha tiketi za kwenda mikoani na kitu cha ukwl kabisa maana hata mm nimeshuhudia kabisa kwa macho yangu na nilishawahi kupeleka wateja wawili nikapata zangu buku nne!! Na hapo nilikua mwanza pale nyegezi stand yan hawa majamaa wanapesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.