Natafuta line ya tigo pesa

mpambanaji1

Member
Dec 31, 2013
36
32
wakuu habari zenu..!!
Natafuta line tigo pesa kwa ambaye anajua wapi naweza pata na kwa bei gani tafadhali naomba anijuze.
 
Zipo bei 350,000... Jina linabadilika baada ya wiki 2, mwenye uhitaj ani PM, nipo Dar...
 
wakuu ahsanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha na nimefanikiwa kuipata na sasa narudi tena kwenu nikiomba ambaye anaya m pesa au anajua naweza kupata wapi anijuze...!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom