Msaada juu ya mafunzo ya udereva!!

mpambanaji1

Member
Dec 31, 2013
36
32
wakuu poleni na pilika pilika za za hapa na pale!!
Wakuu naomba msaada ufuatao kutoka kwenu!!
1. Nahitaji kujua chuo mahiri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa dar es salaam!!
2. Gharama ya mafunzo!!
3. Muda wa mafunzo!!
Na hii ni kwa ajili ya kupata uelewa wa kuendesha magari ya kawaida si ya abiria wala mizigo!!
Naomba kuwasilisha na kama nimeweka kwenye jukwaa ambalo si sahihi mtanisamehe wadau!!
Tafadhali naomba ushirikiano wenu!!
 
Nenda veta chang'ombe mwezi1

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom