mpambanaji1
Member
- Dec 31, 2013
- 36
- 32
wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza kupata hp destop used yenye ubora mzuri na ambayo haitakuja kunisumbua!!
Mimi nipo Dar