Recent content by Mpalisya Imbogo

  1. M

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Suleiman Kumchaya ni mkuu wa wilaya ya Tabora na Suleiman Muhogora yuko wapi?
  2. M

    Yuko wapi mbunge wetu Victor Mwambalaswa wa Jimbo la Lupa?

    Haggy Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Uongo ni uuaji na ni dhambi. Umejitahidi kuuaminisha umma wa wana Lupa kwa kuelezea ubaya wa mbunge wao kwa uongo mkubwa. Mwogope Mungu. 1. Mtu uliyemwita Masingija muuaji sio rafiki wa mbunge na saa hizi yuko rumande 2. Watu waliochomwa moto...
  3. M

    Wilaya ya Chunya hatuna maji safi na salama

    Du, kumbe umeingia juzi jukwaani. Uwe na ngozi ngumu kuwa mwanasiasa. Matusi hayajengi wala hayaleti maendeleo kwa wananchi. Nakutakia safari njema. Maliza degree yako salama itakusaidia kukuwezesha kufikiri na sio kutukana
  4. M

    Wilaya ya Chunya hatuna maji safi na salama

    Mmmh yangu macho na masikio. Ushauri wa bure, kamalize degree kwanza kule UDOM walikokufukuza. Ubunge ni kazi ngumu, changia na wananchi unaotaka kuwaongoza hawajui kazi za mbunge. Maendeleo ya Chunya yataletwa na wananchi wenyewe. Njoo na sera na mikakati mipya ya kutuendeleza wana Chunya sio...
  5. M

    Lowassa na Mulugo, si lazima muongee kiingereza!

    Mulugo ni janga la kitaifa. Tatizo sio lugha hata aliyo present mmmh ni madudu. Halafu inaonyesha ni mbishi, hakutaka kuwatumia wataalam wa wizarani ili wamwandikie cha ku present, matokeo yake ni madudu aliyosoma ughaibuni. Pole sana naibu waziri,aibu hii itakupunguzia maringo unayosema kule...
  6. M

    Nyakua Nyakitita: Mhadhiri DIT anayeokota makopo barabarani

    Ndugu zake wampeleke Jangwani grounds kuanzia tarehe 23 Sept mpka 30 Sept 2012 kutakuwa na maombezi ya wagonjwa. Pia wakiweza waende kanisa la ufufuo na uzima wampeleke huko au wakawaeleze wachungaji watawasaidia.
  7. M

    Furushi la Lowasa Halisemi Uongo

    Du ni majonzi makubwa. Badala ya kumwamini Mungu wanaamini wanasiasa. Furushi la pesa hilo, je kanisa wanaweza kusimamia haki????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. M

    Mgeja amchana Sitta, kumbe alishachapwa viboko na Nyerere kwa kuongoza maandamano!!!

    Mgeja ni janga la kitaifa. Anasema yote hayo kama nani. Amsubiri Lembeli
  9. M

    Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Mmmh sijui kama hizi habari ni za ukweli. Wana JF, ninaomba muwe makini sana na taarifa zinazoletwa humu, zingine hazina ukweli ila zinaendeleza kuchochea moto na kuleta chuki.
  10. M

    Waziri: Nabii Mwingira amekiuka Mkataba wa Uwekezaji, Masharti ya Mkataba yatazamwe

    Du!!!!!! Kulalamika tu, tutafika kweli? Mapori yalikuwepo hamkuendeleza, wameendeleza oh mara yameandikwa Joshua sijui Ann, mlitaka aandike nini? Na hao waumini si watafute mapori yao nao waandike majina ya watoto wao. Kwa mwendo wa malalamiko nchi ya maziwa na asali itakuwa si rahisi kufika...
  11. M

    CCM na Mategemeo yao JKT

    Kwetu mbali nyumbani mbali tukumbukane kwa barua. Yanyukwe. Nyimbo za disko la usiku. Maisha yale yalikuwa safi sana hakuna cha nani wala nani wote sawa.
  12. M

    Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

    Kama kweli wewe ni mbunge, basi ni janga la kitaifa. Yaani umeacha kufuatilia mambo ya jimbo lako, unaleta uzushi, inasikitisha sana. Kama ulihongwa chakula inaonyesha wewe ni dhaifu sana, unahongwa chakula na mwanamke. Hicho ndo wapiga kura wako walikutuma kuwawakilisha. Hoja zako ni very weak...
  13. M

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    Prof Muhongo uko wapi? Tunasubiri wakati wa kusoma bajeti. Hapo ndio utajua siasa ni nini?
Back
Top Bottom