Waziri: Nabii Mwingira amekiuka Mkataba wa Uwekezaji Masharti ya Mkataba yatazamwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri: Nabii Mwingira amekiuka Mkataba wa Uwekezaji Masharti ya Mkataba yatazamwe

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwamakula, Jul 18, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nabii Mwingira alinunua Shamba la Milonje Rukwa plot 48/1 lenye ecari 25,000 kwa gharama ya Tshs 600M kwa kusaidiwa na aliyekuwa RC Olenjorai.
  Hata hivyo baada ya kufanikiwa rushwa hiyo Nabii Mwingira alitoa Posho ya wajumbe katika kikao cha madiwa kwa Tshs 150,000 badala ya ile ya kawaida.
  Malipo ya Shamba hilo yalifanywa na Mwanamke aitwaye MARY MSIMBILA(hawara) aliyekuwa Azania Benk lakini kwa sasa yupo Efatha benk
  Makubaliano ya uwekezaji kati ya Serikali na Nabii Mwingira ilikuwa ni kufanya Shughuli za Ufugaji lakini yeye amekiuka na kufanya shughuli za Kilimo ambapo zimesababisha kupote kwa vyanzo vya maji na wananchi wanalalamika sana.

  Mambo yaliyofanywa na Mwingira:
  1.Amebadili jina la Shamba na kuliita HERITAGE FARM huku akiligawa katika plot ambazo amezipa majina ya waototo wake (JOSHUA,ANN,JONNATHANI).
  2.Serikali iliuza Shamba hilo kwa EFATHA FOUNDATION kwa ajili ya Ufugaji lakini Nabii Mwingira amebadili umiliki wa Shamba hilo na kuchukua hati ambapo Mmiliki ni familia yake jambo ambalo hata Waumini wa Efatha hawajui na wale wote wenye Kufuatilia kama alivyofanya MBUYA wamefukuzwa hapo kanisani.
  3.Wananchi wanaopita karibu na Shamba hilo wanapigwa na kuteswa vibaya kama wanavyofanyiwa Waafrika kwa makaburu


  Hoja ya Waziri wenye dhamana amepelekewa malalamiko hayo na wananchi baada ya kutembelea Shamba hilo na kutoa Mwongozo kuwa mkataba wa uwekezaji ufuate lasivyo Mwingira anyang'anywe Shamba hilo!!
   
 2. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Hizo Titles zenyewe tu: NABII, MTUME!!!!!????

  Jihadharini na manabii wa uongo!
   
 3. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni Kwamba yeye Mwingira ni Nabii ila ni Nabii wa uongo , hivyo jina Nabii lipo palepale!!!
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Du jamani, ina maana huyu jamaa amejitanua kiasi hicho na amefika na kwetu? Uwii ndugu zangu Wafipa, Mwanakatwe, Kapufi, Mwene, Kalambanzite, Sikazwe, Nkalandu wa kung'anda wote twafwa sasa maana mambo ya ardhi na hati miliki ndo hatujui kabisa. Narudu zangu sasa nikaweke ulinzi imara kwenye mashamba niliyaochiwa na babu zangu kule Ntendo, Nambongo, Matai, Mtimbwa na mto Wisa. Nabii mi nilidhani yupo maeneo ya Pwani tu kwa kuwa ni karibu na Dar es Salaam sasa kwa kuwa amepanua wigo huo narudi kwetu nikapambane kwa ajili ya ardhi ya babu zangu
   
 5. M

  Mpalisya Imbogo Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Du!!!!!! Kulalamika tu, tutafika kweli? Mapori yalikuwepo hamkuendeleza, wameendeleza oh mara yameandikwa Joshua sijui Ann, mlitaka aandike nini? Na hao waumini si watafute mapori yao nao waandike majina ya watoto wao. Kwa mwendo wa malalamiko nchi ya maziwa na asali itakuwa si rahisi kufika mtafia jangwani. Naenda kutafuta mapori yangu mbali
   
Loading...