Uwingi wa watu katika mikutano ya kampeni sio tu kukubalika kwa mgombea watu wanacho taka ni kusikiliza sera ili wawe na maamuzi ya hiari yao kuwa tarehe 25/10/2015 fungukeni jamani wanajamii wenzangu tunasema sana kwa hisia za kichama badala kitaifa mtu hata kama una hisia za chama chako bora...
Wanajamii wenzangu myasemayo ni kweli kwamba unapotaka mabadiliko kitaifa unatakiwa kuonyesha mikakati yako kitaifa na wala si kichama kwani lengo ni kuja kuwatumikia/kufanya mabadiliko yenye tija kwa taifa angalao ni kweli mtiririko wa mengi waliyoyazungumza ikiwa ni kweli wakapata ridhaa...
Wanajamii wenzangu tuamke tusukumwe na hoja za wagombea sio idadi ya watu kumbukeni kwenye majukwa ya kampeni wanao kuwa hapo ni watu kutoka itikadi tofauti tofauti kwa ajili ya kusikiliza hoja za wagombea.maamuzi sahihi ni tarehe 25/10/2015.tuamke
Ushauri wa bure tanzania ni ya watanzania wote kwa wakati huu ni vizuri tuzungumze juu ya tanzania yetu na wala sio chama gani kiwe vipi? Tutaijenga tanzania yenye amani mungu tusaidie
Sina tatizo na hisia zetu kivyama.hofu yangu ni juu ya nchi yetu kwa ujumla! Kwani ukawa unazo hali za sintofahamu ndani yake.waondoe tofauti zao ili wakishika nchi kusiwe na tatizo la madaraka visasi ili sisi wananchi waka waida tusije tukadhurika!
Salamu wanajamvi wenzangu tukicha.gia yote haya na kuonyesha hisia zetu.swali langu kwa wenzangu hivi kama mheshimiwa lowasa hakwenda ukawa leo topic ingekuwa ni ipi mbona sasa tumeacha hata kutumia akili zetu za kawaida kutambua mambo na kufanya ulinganifu angalau unapimia katika uelewa wetu na...
Tushukuru wana habari waliopata ruhusa na kuendelea kutu habarisha kwani vitu karibia vyote tunavyoviona leo vilikuwepo ila tulikuwa hatuhabarishi.hakuna jipya sasa wenyewe tufanye maamuzi magumu 25/10/2015 kupata kile tunacho kitaka.kwa sasa ushabiki ukipungua tutaweza kwani hata waswahili...
Mawazo ya kila mtu yanapaswa kuheshimiwa na hata kusikilizwa yakiwa mazuri sina shaka kuyafuata ni budi.wakereketwa wa kila pande hatuoni sasa ni wakati wa kutoa elimu kwa wananchi wetu wenye uelewa mdogo ili watu wote waweze kukamilisha vigezo na mashariti kizingatiwa ili tuweze kuchagua...
Kweli ndg mwanakidagu mawazo yako ni ya msingi sana kwa ajili ya maisha ya watu ni vizuri kutafuta mbadala salama wa tatizo kama hilo.achana na mawazo ya wengine kama mchaniaji aliepita kwani maneno yake yananikumbusha methali isemayo.JIWE LILILOKO BAHARINI HALIJUI KIU YA MTENDE ULIOKO JANGWANI...
Kweli ndg mwanakidagu mawazo yako ni ya msingi sana kwa ajili ya maisha ya watu ni vizuri kutafuta mbadala salama wa tatizo kama hilo.achana na mawazo ya wengine kama mchaniaji aliepita kwani maneno yake yananikumbusha methali isemayo.JIWE LILILOKO BAHARINI HALIJUI KIU YA MTENDE ULIOKO JANGWANI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.