Uwingi wa watu katika mikutano ya kampeni sio tu kukubalika kwa mgombea watu wanacho taka ni kusikiliza sera ili wawe na maamuzi ya hiari yao kuwa tarehe 25/10/2015 fungukeni jamani wanajamii wenzangu tunasema sana kwa hisia za kichama badala kitaifa mtu hata kama una hisia za chama chako bora usikilize hoja na kufanya ulinganifu ili usije ukajuta na maamuzi yako kwa kufuata mkumbo tu!