Winnie Mandela na Graca Machel, watufundhisha mengi kuhusu ukewenza...balaa!

MONEY.POWER.AUTHORITY.PRESTIGE

Halafu babu ndio mume!!!!!!

Kijana ukiwa na nusu ya hivyo alivoacha babu hata watano wanatulia mbona na wanapendana machoni pako na na mbele ya kadamnasi ila kugongewa itakuwa siri ya ndani!!!!
 
Love cant be shared.Hao hawajafuata mapenzi kwa mzee,wamefuata green pasture thats why they are all happy coz they have attained what they sought.
 
Love cant be shared.Hao hawajafuata mapenzi kwa mzee,wamefuata green pasture thats why they are all happy coz they have attained what they sought. NB:Mzee mwenyewe age imesogea na sidhani kama ana uwezo wa kucheza dakika 90 tena wako wawili!
 
Winnie Mandela na Graca Machel hawajawahi kuwa wake wenza. Tusipotoshe jamii.

Winnie Mandela alishaachana na Mandela siku nyingi ndipo Mzee Mandela alipomuoa tena aliyewahi kuwa mke wa Samora Machel, Graca.

Toka mwanzo wa hii mada nilikuwa nikijiuliza,ni lini Winnie na Graca waliwahi kuwa wakewenza na sikupata jibu mpaka nilipoanza kuutilia mashaka uwezo wangu wa kukumbuka, ila asante sana mama kwa kunidhihirishia kuwa uwezo wangu wa kumbukumbu bado upo sahihi.....
 
Love cant be shared.Hao hawajafuata mapenzi kwa mzee,wamefuata green pasture thats why they are all happy coz they have attained what they sought. NB:Mzee mwenyewe age imesogea na sidhani kama ana uwezo wa kucheza dakika 90 tena wako wawili!
According to you. Thanks
 
ninacho jua ukiwa si mchovu hasa kwa kiwango walichofikia kimaisha hawawezi kuwa na chokochoko.yeyote.pia ni kujaliwa huko kwa hekima:noidea:
 
Toka mwanzo wa hii mada nilikuwa nikijiuliza,ni lini Winnie na Graca waliwahi kuwa wakewenza na sikupata jibu mpaka nilipoanza kuutilia mashaka uwezo wangu wa kukumbuka, ila asante sana mama kwa kunidhihirishia kuwa uwezo wangu wa kumbukumbu bado upo sahihi.....

Halafu inasikitisha mtu kama Ab-Titchaz kuja kupotosha na ilhali ukweli anaujuwa...
 
Wacha nimtaliki mama Bhooke nichukue Wambura...kwa kuwa mama bhooke mapenzi bhado yapo ntakuwa na double Mura!
 
4649.jpg

a4s_mandela120613c_11021349_8col.jpg

happyb2.jpg

Wow. You don't see these images on media
 
Back
Top Bottom