Recent content by Mpalakugenda

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

    Hawa tunalipa kodi, luku, tv subscription n.k
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Tanzania kwa Ukubwa wa Eneo.

    Ndiyo ramani mpya mmeshachora?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

    Pia anasanaa kubwa sana ya uwasilishaji. Huchoki kumsikiliza.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Johnthebaptist?

    Kuna lolote? Ulipita kule kwenye nyoka wakubwa na wale mamba?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa kurudi CHADEMA Machi 23, 2025?

    Ila aliweza kwenda ccm alipokuwa hakikubali chama wala uongozi wake. Shituka mkuu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA

    Thubutu yake, atapelekewa bill akiwa balozi arudishe fedha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi ikiri wazi kuwa walikuwa na makosa kuhairisha mchezo kati ya Yanga na Simba

    Huna cheti cha Necta. Hutubabaishi humu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kisa Cha Simba kuwa kimya juu la sakata la Yanga vs Bodi ya Ligi

    😅😅😅😅😅😅 uto ni watu wawili tu wanatambulika NECTA na walipewa vyeti.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba inaendeshwa kwa akili kubwa

    Leteni timu uwanjani tarehe ikipangwa ili mtoe hiko kipigo. 😁😁
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Kuu: Tukishindwa kutatua hili tutaihusisha Serikali

    Huyu jamaa anauhsiano na Bernad Membe. ???
  11. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ni nani Tanzania hii na ndani ya Yanga SC hadi anaapia kabisa kuwa Yanga SC hata iweje haitocheza tena Mechi na Simba SC?

    Haji ni funza tu inayotumika katika ndoano, kwa bahati mbaya wanatege kwenye mamba 😂😂😂
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM inakuja na ilani yake ya uchaguzi mkuu , ambayo itakuwa na majawabu ya changamoto mbalimbali za vijana

    Huyu mzee asichukuliwe poa, anaweza akapindua meza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latolea ufafanuzi tahadhari ya usalama iliyotolewa maeneo ya Pwani, Kisiju, wasema nchi ipo salama

    Mkuu unaelimu gani? Samahani lakini sina maana ya kutweza chochote kile. Za kuambiwa changanya na zako. 😁😁
Back
Top Bottom