Simba inaendeshwa kwa akili kubwa

Simba inaendeshwa kwa akili kubwa

Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.

Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.

Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.

Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Ingekuwa Simba inaongozwa kwa akili kubwa mngefungwa mara nne mfululizo ?
 
Hii timu yenye rangi mavi inashida sana..njano mavi ya mwanadamu na kijani mavi ya ndege..ukishabikia hiyo timu hauwezi kuwa na akili.
 
Bigirimana chezaji la newcaster chezaji la Epl lililetwa kwenye uchaguzi

Baada ya hapo akaibukia FIFA na kuwachaza vibaya sana, Vipi kuhusu Kambole?
Bigirimana alicheza tena ile mechi tunawagonga goli mbili za Mayele alishiliki kimvisha sanda marehemu
 
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.

Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.

Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.

Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Simba ilifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake na Yanga siku inayofuatia. Lakini yakatokea yaliyotokea ambayo kila mtu anayajua.
 
Tukaleta manzoki ili tuchaguliwe tuendelee kuongoza kwa akili kubwa
 
Hii kawaida sana Kwa Simba na Yanga, kuna video ya watu wa yanga, wakiongoza wanahabari wa Yanga wakitamba na Mlataba feki wa Yusuphu Kagoma.
Simba hawakusema wamemsajiri Manzoki, ila yanga walionyesha na mkataba kabisa.

Lakini kama unakumbuka watu waliahidi kufikia mwezi wa nne mwaka jana uwanja utanza kujengwa na magreda ya kusawazishwa yakaletwa nini kinachoendelea mpaka leo.
 
sasa Yanga inaingiaje hapa wakati simba ndo inaongozwa kwa akili!!😄😄, kibegi ni mafanikio ya klabu inayoongozwa kwa akili😂😂🙌🙌
 
Yule jamaa aliyewaita mbumbumbu analiona mbali sana
MTU AKIITWA AKIWA MBUMBU, AKIPEWA ELIMU, UMBUMBU UNAMTOKA, HIVYO MBUMBU NI BORA KULIKO KUTO KUWA NA AKILI, KAMA INAVYOFAHAMIKA KUWA YANGA WENYE AKILI WAWILI TU.
MAANA ASIYE NA AKILI HAFUNDISHIKI, MAANA HATA MBWA UKIMFUNDISHA ANAELEWA KULIKO MTU ASIYE NA AKILI.
 
Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.

Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.

Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.

Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Ni kweli wanajua sheria. Vp usajili wa Lawi?
 
Bange.
 
Mangungu ndo mweye akili siyo? Basi ccm wana akili
 
Kitendo cha kukimbia fedheha ya kipigo cha tano mfululizo hapo akili kubwa ilitumika hongera zao
 
Mbumbumbu hawana dhamana ona sasa wanavyo umbuka😄😄
 
Back
Top Bottom