Recent content by Moyess

  1. Moyess

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Any body samaki samaki posta .??
  2. Moyess

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Zenj vp wanaruhusu gambe mkuu
  3. Moyess

    Yeyote alie karibu Samaki spot Moro

    Unamaanisha group la samaki au black and white ? Yaan mkuu wa mkoa alinipa connection flan ya kibabe mpaka sasa nipo mikoa ya kusini mwa tanzania
  4. Moyess

    Yeyote alie karibu Samaki spot Moro

    Hahahahhaa hiii janja safi sana
  5. Moyess

    Mambo makuu matatu yanayovunja ndoa

    No 8. UVINZA
  6. Moyess

    Yeyote alie karibu Samaki spot Moro

    Dah samakini nimepamis sna moro town ila kuna mahali panaitwa black and white pana watu class flan hivi niliwah kutana na mkuu wa mkoa meza moja hapo na akanipa bonge la dili.. pombe ziheshimiwe kwa connections
  7. Moyess

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Back to TZ hamnaga kama home nmefikia kili nliimis balaaaaaa
  8. Moyess

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah aiseee hii man utd yangu naichekiiii nacheka tu nasema hiiiiiiiiiiiii
  9. Moyess

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Poleni sana wakuu ila mmekaza sana msimu huu msipouza wachezaji na mkiongeza upana wa kikosi nxt season itakua better..kwa sasa nawaombea mmpige tot ili mpate kombe kufuta jasho
  10. Moyess

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hongereni wakuu mlipambana sana mnastahili kombe
  11. Moyess

    Kwa anayefahamu Lodge nzuri Mtwara na Lindi

    Karibu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Moyess

    Kwa anayefahamu Lodge nzuri Mtwara na Lindi

    aaah mbae napasikia tu mie pia nmehamia huku kikazi mwez wa pili ukiwa free wew nichek tu mkuu kama ni mtumiaji wa alcohol utaenjoy zaidi..kwa sasa nipo gr7 maeneo ya huku huku
  13. Moyess

    Kwa anayefahamu Lodge nzuri Mtwara na Lindi

    Aaah kumbe safi sana inabd tuonane Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Moyess

    Kwa anayefahamu Lodge nzuri Mtwara na Lindi

    Ipo town hapa hapa kwa anaepajua mtwara atakuambia ni apartments mpya za TBA zipo nyuma ya ofisi ya mkoa
Back
Top Bottom