Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
unaogopa kudaiwa..mie jaman nakulaga ofa za watu kibao..ila ndo utafanya nn sasa
..yaan vibia vi5 uanze kunisumbua??lol.....!huwa najihami na watoto..akitaka niendelee kunywa nasema narudisha wanangu..kumbe sirudi
..ila ukitaka kumuweka sawa zungusha na ww round km 2 hv...








unaendaga na watoto?


sawa ngoja nikawachukue wa jirani