Recent content by mourisous

  1. mourisous

    JamiiForums Tanzania Kuna postgraduate degree na ipi tofauti take na postgraduate Diploma?

    Tusaidiane kuwaita mkuu hata kwa tags waje
  2. mourisous

    JamiiForums Tanzania Kuna postgraduate degree na ipi tofauti take na postgraduate Diploma?

    Habari wakuu...?? Kama kichwa kinavyosomeka ningependa kupata msaada wa kujuzwa kuhusu Mambo yafuatayo:- 1. Je Kuna kozi za postgraduate degree na Kama jibu ni yes zipi sifa za kujiunga nazo na minimum muda wa masomo ni miaka mingapi? 2. Upi utofauti wa hiyo postgraduate degree na...
  3. mourisous

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Hivi ile kanuni ya ukitenguliwa uanachama automatically na nyazifa zako zimetenguliwa katika chama huwa hazifanyi kazi kwa viongozi WA serikali za mtaa???? Sasa kama chama hakishiriki kishajitoa na hatuna mfumo WA mgombea binafsi, huko kusema kuwa wagombea wanaendelea kuwepo ni kunauni ipi...
  4. mourisous

    JamiiForums Tanzania Mvua za Dar vs ukame wa Mikoani

    Habari wanajamvi. Najaribu kukumbuka tuu kipindi nipo shule hadi Leo hii pale naposikia kuwa upandaji WA miti kwa wingi unachochea zaidi wingi wa unyeshaji wa mvua. Sina shaka juu ya hilo lakini swali linalonitatiza mpaka sasa no kwamba kwanini mikoan mvua ni chache zaidi kuliko Dar,mfano WA...
  5. mourisous

    JamiiForums Tanzania Bint wa kazi anahitajika

    Anatafutwa binti wa kazi za ndani. Eneo la kazi Dar es salaam. Aliyetayali au anafahamiana nae aniPM. Note: Wazazi wake wawe tayari katika hilo.
  6. mourisous

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa ndiye anayestahili kurithi kiti akifatiwa na Makame Mbarawa

    Habari wanajamvi. Kutoka na uchovu washughuli nyingi za JUMA naomba nichukue fursa hii kuwapa pole na majukumu na hongera pia katika kuweza kuyatimiza kwa usahihi. Sina mengi Leo yakuzungumza,Ningependa tumtizame Mh Katika mtazamo wa utendaji wa majukumu na kutimiza wajibu wake naamini kabisa...
  7. mourisous

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mtalii afariki baada ya Parachuti kugoma kufunguka akiruka Mlima Kilimanjaro

    Unajua lakini parachuti ni nini???
  8. mourisous

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mdogo wangu ana stress za maisha

    MPE mtaji stress zitaisha kabisa
  9. mourisous

    JamiiForums Tanzania Hii ya Makonda kupiga salute imekaaje?!

    Haka Kathread bila picha hakanogi kabisa
  10. mourisous

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova abadili upepo hujuma ya kumuua Dk Slaa

    Aiseeee
  11. mourisous

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial kinapokonya haki za wanafunzi

    Katika kikao hiko alikuwepo makamu mkuu wa Chuo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mourisous

    JamiiForums Tanzania MAJINA NACTE WANAYATOA LINI KWA WALIOFANYA UDAHILI NACTE NA SIO VYUONI?

    Kama heading ya uzi unavyojieleza hapo juu. Mimi ni miongoni mwa wahanga wachache wa hiki tuliotuma maombia direct Nacte baada ya kutokea matatizo katika a/c za vyuo tulivyoomba. Ningependa kufahamu majibu wanatejesha lini na yanapatikanaje kwa urahisi maana siku nazo zinasonga
  13. mourisous

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ukiwa upo TAYARI kuja MTWARA kutoka wilaya za DAR ES SALAAM Tafadhi tuwasiliane mapema 0628095503
Back
Top Bottom