Chuo cha Mwalimu Nyerere Memorial kinapokonya haki za wanafunzi

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,874
Kuna changamoto imetokea kwa wanafunzi wa chuo cha Mwalimu Nyerere, wanafunzi wa wa certificate na Diploma kuhusu matokeo yao.

Tangu 2017 na 2018 wanafunzi wa NTA levels 4 na 5 wamekuwa wakitumiwa alama za A-5,B-3,C-2 ,D-1,F-0

Ambapo wanafunzi waliosoma certificate na diploma kuanzia 2016 na wakaingia diploma level one na level 2 walitumia alama hizo .

Na utaratibu wa zamani katika prospectus hiyo ya 2017/2018 ilikuwa usipo fikisha course works ya 20 kati ya 50 hauingi kwenye UE ,na ukiingia UE kuna marks 50 ambapo hakukuwa na limit ya marks ila tuu ukifanya EU ukishindwa fikisha A,B,au C yaani ukipata D maana yake ume pata SUP. huu ndio utaratibu wanafunzi waliouzoea na kutumika na prospectus ya 2017/2018.

Sasa hivi chuo kime introduce Prospectus mpya 2019/2020 ambapo alama zimebadilika ni A-4 ,B-3,C-2,D-1 .

#Important point. utaratibu wa sasa umebadilika ni kuwa sasa hivi course unatakiwa kufikisha 25 ya 45,usipofikisha ume sup ,na mtihani wa EU wa alama 55 utapaswa kupata 27 ya mtihani huo wa EU usipofikisha alama hiyo ya 27 ya 55 wanakuwekea F hata Kama uliingia EU na course works ya 45/45

Pia utaratibu huu umewathiri hadi wanafunzi waliofanya mtihani 2016,2017,2018 ambapo prospectus yake ni ya 2017/2018 ila matokeo yao ya miaka hiyo yamekumbwa na utaratibu wa sasa ambapo wanafunzi wengi wamejikuta matokeo yao ya certificate,au level 1 deploma yana alama F,Mara wamepata Sup ikiwa yeye sasa ni level two diploma.

Hii ina waumiza sana wanafunzi,chuo kimegoma wamesema Prospectus ya sasa 2019/2020 itabadili hadi matokeo ya miaka ya nyuma haijalishi ,ikiwa umepata F,au sup .

Hapo hapo uongozi wa chuo umewaambia wanafunzi kuwa Kama matokeo yao ya nyuma wakiwa certificate yamebadilika Kama wepata F ,au SUP katika huu utaratibu mpya wa prospectus ya 2019/2020 waache wasiwe na hofu .

Sasa haijulikani waache watayabadili au yabaki hivyo hivyo.Na sasa haijulikani hatma ya wanafunzi walio level 2 ya diploma ila matokeo yao ya certificate na diploma level one yana Sup na D,F haijulikani kipi watafanya ,chuo kimegoma kusikiliza ,kimegoma kabisa kuwasikia wanafunzi wakiomba hiyo prospectus mpya ya 2019 /2020 ianzia 2019 to 2020 isiathiri matokeo yao ya nyuma ya prospectus ya 2017/2018 ,ila chuo kimegoma kabisa kabisa.

Huu utaratibu ni kinyume kabisa , utaratibu umenyang'anya jitihada binafsi za mwanafunzi.

Natumai wizara yetu ya Elimu na NACTE wataingilia swala hili na hatma hii itapatikana.Nina imani muafaka kwa wanafunzi utapatikana.

Abdul Omary Nondo.

abdulnondo10@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pelekeni malalamiko kwa mkuu wa chuo halafu si kuna baraza la kila mwaka mara moja kujadili matatizo yenu hilo nalo vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuo vyetu huwa vina mambo ya ajabu sana. Kwa ujumla inatakiwa mtu akianza na sheria za mwaka XYZ amalize na sheria hizo hizo. Sheria zikibadilika zitaanza na wanafunzi wapya na wala sio wale waliodahiliwa zamani. Sijawahi kusikia sheria mpya chuoni kuathiri matokeo yaliyopita huo utakuwa ni wenda wazimu kabisa.
Nafikiri imefika muda wa kuwa na HAKI ELIMU au TWAWEZA kwa vyuo vya elimu ya kati na juu. NACTE na TCU viunganishwe tuwe na mdhibiti wa elimu mmoja tu.
 
Wewe siyo msemaji wala mwanafunzi wa Mwl Nyerere Memorial Academy hangaika na mambo yako yaliyokushinda usihangaike na vitu visivyokuhusu HUKIJUI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE hivyo hata taarifa zake ulizonazo ni za uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiweza kuandika kwa kufupisha itakuwa poa sana, huwa naona thread zako nyingi unaandika maandishi mengi ambayo ungeweza kuyaweka kwenye summary yakaeleweka.

All in all, napenda unavyofanyia kazi ushauri. Maana last time ulishauriwa kuachana na Yericko, naona umetekeleza.
 
Tatizo limetatuliwa ! Shukran sana kwa wizara ,wanafunzi hata uongozi wa chuo
IMG-20190408-WA0038.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom