Mvua za Dar vs ukame wa Mikoani

mourisous

JF-Expert Member
Jan 19, 2016
443
267
Habari wanajamvi.

Najaribu kukumbuka tuu kipindi nipo shule hadi Leo hii pale naposikia kuwa upandaji WA miti kwa wingi unachochea zaidi wingi wa unyeshaji wa mvua.

Sina shaka juu ya hilo lakini swali linalonitatiza mpaka sasa no kwamba kwanini mikoan mvua ni chache zaidi kuliko Dar,mfano WA mikoa hiyo ni kama vile, Mtwara,singida, Morogoro na mengineyo michache pamoja na uwepo Mkubwa wa miti katika maeneo hayo??
 
Rudi shule ndugu
 
Labda kama kuna aina ya miti inaleta mnvua, otherwise ni uongo. kuna pori kubwa sana sikonge TABORA , Lakini mvua inanyesha mara moja kwa mwaka tena kwa shida
 
Back
Top Bottom