Recent content by Mourine stephano

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya neno "takriban"

    Mpo safi vijana wote hapo juu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu ni nani?

    mzungu asili yake ni mungu KWANI UPEO WAO NI MKUBWA MUNGU=MZUNGU herufi Z ndio iliongezwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Basi nitajinyonga kesho

    Jamani uchungu wa mke aujuae mume.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wasan wote wapo kweli.

    Yupi una mkubali hapa NTOMBI, PAMELA NKUTHA, AWILO(DRC), MAFULA, YVON CHAKA
  5. M

    JamiiForums Tanzania usichokijua,,,,,,,,,

    Asipo jiangalia hata huko alikoenda atashindwa kwan tabia ni kama skin huwez kuibadili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Njooni tuzugumze

    Kaka badilisha fakati nenda kilimo lakini nikuulize ualimu ulichagua mwenyewe au ndugu zako walikushauri ukasome?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti yake ni nini?

    Maneno haya shika,kamata na chukua watalamu wa lugha uwanja ni wenu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani: Nifanye nini ili niwe naongea English kwa ufasaha

    Akasome english course
  9. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya viungo (spices)

    Wana JF, Kuna watu hawajui tofauti ya viungo na mboga ya majain mfano viungo ni hivi galic,jinger sweetpaper onion carrots.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kisawe/visawe

    Naomba kujua maana ya neno "kisawe" kwani tumezoea sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kondoo dume anaitwaje

    Anaitwa RAM kaka
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli nguo nyekundu ni hatari kama kuna radi?

    Wadau naombeni msaada hua nasikia nguo nyekundu ni hatari kama mvua ya radi inanyesha .Mwenye uwelewa naomba msaada.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bahati nasibu katika mitandao ya simu ipo kwa ajili ya maskini tu?

    Hakuna lolote hiyo ni kamali tu mfano mzuri ni mtandao wa vodacom wanasema kila siku nicheki sh300 inatozwa wizi mtupu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wana jf

    Leo ni aprill's fool kuwen makin na taarifa mtakazo zipata
  15. M

    JamiiForums Tanzania viongo vya albino vyakamatwa

    Watu 2 wakamatwa na viungo vya albino huko kagera wilayani bukoba asema kamanda wa polisi mkoan humo Waliahidiwa 2000000
Back
Top Bottom