Msaada juu ya neno "takriban"

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,434
1,765
Limetumika sana kipindi cha uchaguzi na watangazaji wa Azam TV. Utawasikia "John Magufuli anakuwa rais takriban wa 5". Mimi nahisi kama wanachemka hivi. Nilidhani takriban ni kama "nearly,""almost" etc.
 
Uko sahihi.

Takriban = kadirio, approximately, au ulivyosema hapo juu.
 
Limetumika sana kipindi cha uchaguzi na watangazaji wa Azam TV. Utawasikia "John Magufuli anakuwa rais takriban wa 5". Mimi nahisi kama wanachemka hivi. Nilidhani takriban ni kama "nearly,""almost" etc.
Neno hili ni la kiarabu lugha mama:~ "Takriban limetokana na neno karibia au kadirio"
Lakini hapa uswahili tunalitumia kama Kadirio (kupima jambo maalaum)
Kifyatu Mourine stephano
 
Last edited by a moderator:
Zamiluni Zamiluni

Nakubaliana na wewe.

Kamusi ya TUKI nayo inasema:

takribani* kl almost, about: Ilikuwa ~ saa tatu it was about 9.00 hours. (Kar)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom